NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,295
- 19,644
Your excuses are becoming more ridiculous everyday. Mmepokea msaada wa chakula Na mmekuwa mkiupokea kila mwaka. Foreign media zimeamua kuwaumbua this time.Kama ingekuwa Kenya ruto angepostpone safari akapokee msaada lakini Tz waziri wa chakula kaupiga chini msaada
Dualis zimeanza kutoka 2006, hio ya 2002 ilitengenezwa Kibera?Wewe toilet boy hizo gari hazifanani. Look at the grill you will see the difference, Dualis ya 2012 has a silver lining all round the grill while ya 2002 only have a lining at the center.
View attachment 2937668
Yaani bado tu unaota ndoto?😎Tanzanian president in Kenya with COVID-19: Opposition
Multiple local news outlets in Kenya report unnamed African leader was admitted to Nairobi Hospital - Anadolu Ajansıwww.aa.com.tr
Lete ushahidi wa mwaka jana na juzi tuone😎...Na mmekuwa mkiupokea kila mwaka...
2006 indeed.Dualis zimeanza kutoka 2006, hio ya 2002 ilitengenezwa Kibera?
Kindly, show us the Dar oil facility that is supposedly of better quality than Kipevu.Amount of money does not necessarily justify the quality angalia yale mapipa yenu mliojengewa kipevu oil terminal kisha angalia new Dar oil facility, ninyi kupigwa ni kawaida na pesa yenu siku zote ni takataka
Umesikia tamko la waziri wa kilimo msaada umetolewa bila kuombwa na hauhitajiki Cha pili nchi yenu huomba msaada wa chakula WFP Kisha WFP huwa wanakuja kununua Tz na kuja kuwapa Bure wazee wa service economyYour excuses are becoming more ridiculous everyday. Mmepokea msaada wa chakula Na mmekuwa mkiupokea kila mwaka. Foreign media zimeamua kuwaumbua this time.
2006 indeed.Dualis zimeanza kutoka 2006, hio ya 2002 ilitengenezwa Kibera?
Msaada huwa hauombwi. Msaada huletwa tu alafu kama hauhuitaji unaukataa. Nyie mmeukubali kama miaka mingine tu. Tofauti this time international media zimeamua kuwaumbua.Umesikia tamko la waziri wa kilimo msaada umetolewa bila kuombwa na hauhitajiki Cha pili nchi yenu huomba msaada wa chakula WFP Kisha WFP huwa wanakuja kununua Tz na kuja kuwapa Bure wazee wa service economy
Mara kibao tu mawaziri wenu huomba misaada ya chakula na ni Moja ya sifa kubwa sana ya kiongozi wa Kenya kung'aa kisiasa ndio maana hupenda kwenda kupiga picha na kupost kwenye mitandao ili wajipatie umaarufu kisiasa pale misaada ya chakula inavyoletwa na waarab wa jangwani na huomba misaada zaidiMsaada huwa hauombwi. Msaada huletwa tu alafu kama hauhuitaji unaukataa. Nyie mmeukubali kama miaka mingine tu. Tofauti this time international media zimeamua kuwaumbua.
Nionyeshe waziri wetu akiomba msaada.Mara kibao tu mawaziri wenu huomba misaada ya chakula na ni Moja ya sifa kubwa sana ya kiongozi wa Kenya kung'aa kisiasa ndio maana hupenda kwenda kupiga picha na kupost kwenye mitandao ili wajipatie umaarufu kisiasa pale misaada ya chakula inavyoletwa na waarab wa jangwani na huomba misaada zaidi
Nyang’au kwisha kazi yenyu 😎Kenya architecture vs Vitenge mansions
Unafurahisha sana..2006 indeed.
View attachment 2937941
Tazama unipe tofaut chizi wewe 🤣🤣🤣Wewe toilet boy hizo gari hazifanani. Look at the grill you will see the difference, Dualis ya 2012 has a silver lining all round the grill while ya 2002 only have a lining at the center.
View attachment 2937668
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Unaishi kwa DelusionsKUTRH is a government hospital and Tanzanian health ministers usually goes there for benchmarking.