Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Waliua Wakenya 30 na hao wajinga wenu waliua 5, which side won the fight?
 
Mabeyo kishule sio kam Mwamunyange, inaweza kuwa ni moja ya shida. Maana yuko kama kondoo flani anapelekwa pelekwa.
 
Mtatamani sana lifestyle ya tanzania na viongozi wao mnashindwa si kitu kimekuja kwa kustukiza ndio utaratibu wetu wa kuishi.
Sasa na la mchele wa msaada angalia watu walivyoongea serekali imeongea nini kupitia kwa waziri sisi sio nyie hatuburuzwi.
 
Stop looking for flimsy excuses. Kwani ndege ni masaa mangapi hadi Dar au Mwanza kutoka alipoangukia?
 
Stop looking for flimsy excuses. Kwani ndege ni masaa mangapi hadi Dar au Mwanza kutoka alipoangukia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…