Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Cha ajabu nini? Hizo mnazopost kila siku ni nini?
The difference is, sisi zipo kila mahali. Hazitafutwi na tochi gizani.

Secondly, we don't make a big deal here when a new residential apartment is under construction somewhere (unless it's more than 15 floors)

Hizi za ghorofa tano hadi kumi that excite you here are under construction almost everywhere in Nairobi

Take a look at this Kilimani photo for instance and tell me the number of green nets you've seen
 
Ngoja nikuache upite.
 
Kilimani gani wakat upperhill yote inaonekana hapo 😁😁😁 au nasema urongoo
 
Have a good weekend and please don't forget to share with us pictures of apartments under construction in Masaki and Oyster Bay
Unapost kilimani wakat upperhill yote iko ndani ya picha hvi wakenya munashida gani kwenye ubongo 😁😁😁😁😁😁
 
Kuhusu hayo makubaliano ndio mimi nilikua ninalenga.
Ahsante bro utakua umemaliza utata.
Na hayo makubaliano ndio yanaipa mamlaka serikali juu ya KCMC.
Hiki ndio nilikua ninalenga mimi.
Hospitali inabaki kuwa governed na Askofu!



5 members (ELCT + GSF) vs 3 members GoT!
 
Hospitali unazobishia zinaongozwa na Baraza la Maaskofu, wewe unabisha kama si unyoko ni nini? Mbona zisiwe chini ya Wizara kama Muhimbili? AU hospitali nyingine za serikali?
Ninacho fahamu kuhusu hizo hospital eg. Bugando hospital ni iko chini ya RC, na ni hospitali inayofanya vizuri tangu niko mdogo more than 20yrs ago. Lakini kwa nini unazani zinatumika kama hospitali za kanda!? tuambie kwanza hapo kama kuna kitu unakifahamu sisi hatujui ili kama kuna kitu pia nawe hukifahamu tukujuze pia.
 
Hilo halijapingwa.
Hata katika kampuni unakuta CEO ndio ana govern kampuni,ila je otjwr board members hawana mamlaka na kampuni???
Hawana ratio ya 3:5 unakuwaje na mamlaka! Mamkaka ni tofauti na ushauri na uangslizi! Hivi vitu navijua na ndomaana nasisitiza!

Makubaliano yote kama partnerships na donors zinsfanywa na uongozi wa baraza la Maaskofu ELTC!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…