Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunaanza taratibu tutaelewana tu. Wati wakenya wakisumbuka kuwaomba mataifa mengine yaende kwao free sisi tunajenga nchi yetu. Na lazima uingie kwa kiingilio na utuambie unakaa baada ya muda gani.



 
Mkuki kwa nguruwe bana...mkiambiwa ukweli wenu mnalia kilio cha mbwa mwizi [emoji38][emoji38]

Kunywa maji
Kwa hivyo unakana kwamba Nyerere hakutamka haya maneno? vipi wewe!
 
wacha kuongelea kuhusu vitu viko proposed.... tunataka vitu already viko on the ground, running.

by the time wakianza ujenzi wa 88flr, sisi tutaanza 100flrs
 
duh! wewe kweli t-time alikupagawisha
 
Alitumia mwaka 80s ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ tena washukuruni wakoloni na bado ndio wameshikilia mashamba makubwa yote kenya mpaka dunia inasmama๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
 
wacha kuongelea kuhusu vitu viko proposed.... tunataka vitu already viko on the ground, running.

by the time wakianza ujenzi wa 88flr, sisi tutaanza 100flrs
Where are they tuoneshe ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€
Over 33 fl hamuna munawaza 100 ๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
 
inaitwaje hiyo project wewe na wewe unaonaga SA as if ni binguni
 
Alitumia mwaka 80s ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€ tena washukuruni wakoloni na bado ndio wameshikilia mashamba makubwa yote kenya mpaka dunia inasmama๐Ÿ˜›๐Ÿ˜›
Kawaida yako ukibanwa Kwa kona unakosa hoja na kuleta visingizio na vijisababu. whether Nyerere alisema last year au 1920 cha msingi ni kwamba alitamka hayo maneno Mbona tu usikubali yaishe? Halafu story ya mashamba yanatoka wapi? Niko na hekari kama 50 hivi unaeza kuja nikupatie kidogo
 
Hahahaha mwaka gani huo? He kwa sasa mnaproduce kiasi gani ukilinganisha na Kenya? ...Hahahaha na usijibu ukitokwa na povu leta Facts backed by data si domo domo...hahahaha.
 
Nyie wabongo mnapenda sana kuabudu SA sijui ni kwa nini. That's called inferiority complex
Sasa wewe mbona unaupuuzi ilhali unaujua huo ndio mfano halisi? Hamna iyo sifa najua mliitaka sana ,ni ukwel usiopongika sa mimi kuitaja inafit kwenye mazungumzo yale kama umeumia sana unstall jamii forum

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha mwaka gani huo? He kwa sasa mnaproduce kiasi gani ukilinganisha na Kenya? ...Hahahaha na usijibu ukitokwa na povu leta Facts backed by data si domo domo...hahahaha.
Kwa sasa tunatoa 1750MW
Tuko mbioni kuongeza zaidi ya 2100MW in three 3yrs to come

Najua mko na 2500MW +-

Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ