Ndio maana nakwambia ww umelewa😂😂That's just partnership, your government does not own the hospital. Show me anywhere imeandikwa it's a public hospital nifunge hii account sahii. Yani bongoslum has very few public hospitals hadi serikali inabidii ifanye partnership na private hospitals. 😂 😂 😂 Hospitali zenu zote amabazo zinamilikiwa na serikali zinajulikana, I still insist, mutuonyeshe ni gani zinafanya brain or spinal surgery apart from Muhimbili na Benjamin Mkapa. 😂😂😂
Kama utaumia kalilie chooni
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1769008964929220813?t=RlPkwQlNoqjctJZlllk1Zw&s=19
Ataleta ubishani wa kipuuzi kama siku ile.Toa ujinga wako hapa KCMC iko chini ya serekali ya Tanzania
Akili zako ziko kwenye makalio 😂😂😂😂
View attachment 2936511
Wacha upumbavu KCMC haikujengwa na GOT bali Good Samaritan foundation! GoT ilitaifisha na kuchelewesha maendeleo yake! Badala ya KCM UNIVERSITY kuanzishwa 1970s imekuja kuanzishwa 1990s!🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ona hii ng'ombe.
KCMC ni Faith based organisation inayolelewa na serikali.
Hao staff members wa KCMC wanalipwa na serikali ya Tanzania na kila mwezi 1 billion Tzsh huingizwa KCMC kwaajili ya uendeshaji.
Hata ujenzi wake 70% kuanzia ardhi mpaka jengo ni serikali.
KCMC na BUGANDO HAVINA TOFAUTI NA NDIO MAANA IMEWEKWA KAMA HOSPITALI YA KANDA.
Kwani hakuna private hospitals Moshi??
Mbona MOI hawakuenda kwingine wakaenda KCMC??View attachment 2936476
When this whole project is done…. It will definitely resemble a first world country… am glad an American company is in charge… no shortcuts….
Nimeelewa kitambo mkuu kwanini nisielewe?Kosugi imeelewa hapo
Enyewe wewe hua pumbavu, kwa hivyo unataka tuamini a source from google maps where anyone can edit and write anything na tuache a reliable source from the government. Ministry of Health in Tangagiza inasema ni private hospital.😂 😂 😂 😂 👇 👇 Wewe unapinga kama nani?Ndio maana nakwambia ww umelewa😂😂
View attachment 2936530
Halafu we jamaa huwa unakurupuka kama umechomekwa mjiti wa matako na huwa hauji kwa ustaarabu.Wacha upumbavu KCMC haikujengwa na GOT bali Good Samaritan foundation! GoT ilitaifisha na kuchelewesha maendeleo yake! Badala ya KCM UNIVERSITY kuanzishwa 1970 imekuja kuanzishwa 1990s!
Hio video alipost Huyo zwazwa wenu nimebakia kucheka Yani video yote inaonesha Barabara tena ambayo sio ndani ya tatu city 🤣🤣🤣🤣🤣 video nzima watu wamekaa kwenye gari wanaongea tuWhen this whole project is done…. It will definitely resemble a first world country… am glad an American company is in charge… no shortcuts….
Eti KCMC ni private nimecheka Sana Leo🤣🤣Enyewe wewe hua pumbavu, kwa hivyo unataka tuamini a source from google maps where anyone can edit and write anything na tuache a reliable source from the government. Ministry of Health in Tangagiza inasema ni private hospital.😂 😂 😂 😂 👇 👇 Wewe unapinga kama nani?
Young Kenyans are very creative and doing big … I don’t think there is anywhere else in sub Saharan Africa where real estate sells that fast.. even the new sister city to Tatu is 70% sold out…watu wana pesa jamani…
Hamna ushirikiano wowote zaidi ya wivu na akili ya Ujamaa! KCMC na Bugando si initiative ya Nyerere Peleka Upumbavu! Serikali ya Nyerere haikuweka hata cent zaidi ya kungoja zijengwe zifunguliwe halafu azitaifishe! Usifikiri sie Wapumbavu kutojua ukweli halisi!Halafu we jamaa huwa unakurupuka kama umechomekwa mjiti wa matako na huwa hauji kwa ustaarabu.
Unajua ushirikiano wa Nyerere na Good samaritan???
Hiyo KCMC serikali imechangia kuijenga matako meusi wewe.
Huyu jamaa anaposema, "surprisingly..." anasahau kale kamsemo ketu, usivione vya elea...Kama utaumia kalilie chooni
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1769008964929220813?t=RlPkwQlNoqjctJZlllk1Zw&s=19
Nabishana na wewe for what??Hamna ushirikiano wowote zaidi ya wivu na akili ya Ujamaa! KCMC na Bugando si initiative ya Nyerere Peleka Upumbavu! Serikali ya Nyerere haikuweka hata cent zaidi ya kungoja zijengwe zifunguliwe halafu azitaifishe! Usifikiri sie Wapumbavu kutojua ukweli halisi!
KCMC ni private hospital imejengwa na ushirikiano wa madhehebu ya Kikristo About Us GOOD SAMARITAN FOUNDATION! Kama hujui kitu nyamaza si unajiaibisha!Eti KCMC ni private nimecheka Sana Leo🤣🤣
View attachment 2936549
Kusaidia kulipa mishahars haimaanishi ya serikali! Uongozi mzima ni Lutheran church!Ona huyu ng'ombee.
Bugando ni hospitali ya ushirika ambayo inalelewa na serikali.
Ruzuku na uendeshaji unatoka serikalini na ndio hospitali ya kanda kwa kanda ya ziwa.
Toka mwaka uanze 2023 Tanzania ilianzisha mpango wa kupeleka madaktari bingwa hospitali za rufaa za mkoa na kikanda ili kupunguza rundo la kuhangaika kupeleka rufaa muhimbili.
Hii hapa KCMC.
Hii ni hospitali ya kanda ya kaskazini.View attachment 2936458View attachment 2936459
Kwani nimesema ya serikali??Kusaidia kulipa mishahars haimaanishi ya serikali! Uongozi mzima ni Lutheran church!
Usinambie serekali haina ushirika KCMC 😂KCMC ni private hospital imejengwa na ushirikiano wa madhehebu ya Kikristo About Us GOOD SAMARITAN FOUNDATION! Kama hujui kitu nyamaza si unajiaibisha!