Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Serikali yenu ingekua na uwezo ingewalisha wenyewe na wakatae msaada wa USA. Lakini ju walikubali inamaanisha wanafunzi wamekua wakilemewa na njaa huko kwa your capital city. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Acha taarabu jibu swali,Kuna ripoti imetoka ikisema Dodoma kuna balaa njaa??
 
Nimemuuliza swali kuna ripoti ilitoka ikionesha DODOMA MASHULENI KUNA BALAA NJAA KUNAHITAJIKA MSAADA WA VYAKULA??
AKINIJIBU HILI SWALI NAACHA KUINGIA JAMII FORUM.
Serikali yenu imekubali msaada wa vyakula kwaniini kama hamna njaa?
 
Serikali yenu imekubali msaada wa vyakula kwaniini kama hamna njaa?
Acha kukaza kichwa unaanza kunipa wasiwasi na akili yako sasa.
Nilikuzungushia duara jekundu usome sababu ya huo msaada na wapi umeenda.
Nakuuliza je KUNA RIPOTI ILITOKA KUWA DODOMA KUNA BALAA NJAA??
Jibu ndio au hapana.
 
More food donations to bongolalas πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡


View: https://x.com/IHHen/status/1768244794843685146?s=20
Halafu kumbe we ni msenge!?
Asa hiyo si sadaka tu kwa waislam huwa wanatoa kwa wale wenye uhitaji??
USIKUTE NABISHANA NA PUNGUANI LA MIREMBE.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
JAMANI ONENI HILI FALA HUKU LINAJUMUISHA HADI SADAKA ZA KIDINI KAMA MSAADA WA NJAA
 
Ushaishiwa wewe huna hoja.
Unafosi Tz ionekane na njaa kama Kenya ila ushafeli kajipange upya.
Unanikasirikia nikama mimi ndio niliambia serikali yenu ikubali chakula cha msaada kutoka USA. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣"MAGUFURI DIED IN KENYA AND AGHA KHAN OWNED BY KUNYANS " 🀣🀣alisikika bibi titi akifoka Kwa uchungu akiwa kibera amevaa kayak shoes 🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…