Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

This American celebrity had an accident that caused a near death experience at Serengeti National Park, but she was airlifted to Nairobi for treatment. She got the best medical care at Agha Khan University Hospital, Nairobi. Mbona hakupelekwa hospitali za bongoslum? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚


View: https://x.com/anto_ty/status/1768525100670763333?s=20
 
Daah 😍wanajeshi wetu wakiwa pamoja na wanajeshi wa south Africa na nchi zingine za SADC kwenye mission their looks like siblings

hapo Kuna picha wakiwa Mozambique zingine nchini DRC
Ila sijajua Kwanini Tanzania tuko very affectionate na mataifa ya SADC kuliko EAST AFRICA

NB: bila unafiki combat uniform za bongo imeturia Kuna mahara nimekuta wa south Africa wanaisifia
 

Attachments

  • images (79).jpeg
    79.8 KB · Views: 31
First time am seeing this about my beloved blackish actress….I loved the show.. never missed an episode . am glad she’s ok now…
 
Mmepewa combats za UN and SADC mmefurahi nazo kweli kweli.
 
I'm back after 7yrs naona uzi bado u a endelea... Kina @tusaan, mulisaa walienda wapi
 
Hilo sio suala,Tz Aga khan kuna poly clinics tu.
JIbu swali serikali yenu inamiliki A gha khan??
JIbu ndio au hapana.
Eti Agha Khan ina cilinics tu bongo. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Alipata ajali bongoslum lakini akasafirishwa Kenya. Does that ring a bell to you? Mbona hakupelekwa hospitali za bongo?
 
Kwa hii taarifa ndio useme Dodoma kuna njaa???
Yani msaada mdogo tena umeenda sehemu moja unasemea Dom nzima??
Pamoja Tuwalishe. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Wacha makasiriko, the fact remains munapokea msaada wa chakula.
 
Mhh napita tu sina cha kuchangia maana mi mwenyewe ndame na maao. Sijavuka mpaka wa Tanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ hivyo nawasikiliza waliyoona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…