Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usinililie mm tafadhali, walilie wanatakwimu, na hiyo ilikuwa 2020 which means four years back, vipi sasa ? Je, haijafika 80%?

 
Okay hata mtu aliyepungukiwa fikra anaweza kuchagua. Bwana The best 007 tafadhali chagua moja. Ni wakazi 2.5 million ama ni 80% ya wakazi wa Nairobi. Ama unamaanisha 2.5 million people ni 80% ya wakazi wa nairobi?
Umechanganyikiwa
Hii ni aibu kwa nchi, sitashangaa ikiwa wengi wenu humu mnaishi kwenye slums πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…