Ww unajua kwann kibera ndio worse slum on planet🤣🤣🤣 Nani leo hajui kwenye dunia hii kama kibera ndio the largest worse urban slum on earth, Nani hajui bro?Okay hata mtu aliyepungukiwa fikra anaweza kuchagua. Bwana The best 007 tafadhali chagua moja. Ni wakazi 2.5 million ama ni 80% ya wakazi wa Nairobi. Ama unamaanisha 2.5 million people ni 80% ya wakazi wa nairobi?
Umechanganyikiwa
Your opinion doesn’t matter bila facts my friend. Wachana na feelings na emotions leta valid verifiable factsWw unajua kwann kibera ndio worse slum on planet🤣🤣🤣 Nani leo hajui kwenye dunia hii kama kibera ndio the largest worse urban slum on earth, Nani hajui bro?
Ohh kuna ukweli gani utabadilika hapo watu wanaishi mazingira hata nguruwe hawez ishi na Huko hapa kutete upuuzi
Na sio uongo kua kibera ina over 2.5m people achilia slums zingine zaidi ya 40
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Tatizo lako hupendi ukweli na siku zote ukweli hautobadilikaYour opinion doesn’t matter bila facts my friend. Wachana na feelings na emotions leta valid verifiable facts
Have you ever asked yourselves how much benefits strikes have brought in Kenya? Ama ni kucheka tu kijinga..
Mimi niko against na Miradi ya umeme wa Jua hadi tuwe na umeme wa uhakika, Umeme wa Jua kwa nchi za Africa ni miradi ya wizi na ya viongozi wanaipigia kelele ni wezi, ukijumlisha power plants zenu hapo pote hazifiki megawatts 200 biga hesabu gharama na eneo, maintainance, transimission, next 20 years mnaanza mradi upya wakati mtambo mmoja wa Bwawa nyerere ni megawatts 215 tayari ni rahisi kuingiza kwenye Grid ya Taifa150 megawatts for a single solar power plant is such a huge project that can cover up to 280-300 hectares. Is this being done in phases? If this materializes then it can be the largest in EA.
Tanzania currently has no power plants at the moment while Kenya has a couple of them
View attachment 2934585View attachment 2934587
Sisi ni wavunja record. Hiki ki solar power plant kenu vikiwa vitatu ndio upate ukubwa wa mradi mmoja tunaofanya150 megawatts for a single solar power plant is such a huge project that can cover up to 280-300 hectares. Is this being done in phases? If this materializes then it can be the largest in EA.
Tanzania currently has no power plants at the moment while Kenya has a couple of them
View attachment 2934585View attachment 2934587
Mbona unaongelea mambo ya kizamani?😎....Demonstrations are rights which Tanzanians cannot exercise...
Buda subiri hata project ianze kwanza. Shida yenyu mkianza kitu mnakuanga too late to the game, kisha mnajidai sana. Tungalikuwa na mentality ya kibongo, si tungewa annoy sana vile huwa mnadai eti mnatukopi, mara street cameras, mnatukopi, esegiara mnatukopi, solar power mnatukopi …. Makinika wabongooo… hata na hio mentality sijui mbona mwajiita wabongoSisi ni wavunja record. Hiki ki solar power plant kenu vikiwa vitatu ndio upate ukubwa wa mradi mmoja tunaofanya
kuwa na demonstrations ndio kupitwa na wakati? Okay please enlighten me. Mapya yapi?Mbona umepitwa na wakati namna hii?😎
Upuuzi mtupu. Kabla ya kuongea pumba zako fanya utafiti kwanza😎kuwa na demonstrations ndio kupitwa na wakati? Okay please enlighten me. Mapya yapi?
Hamkubali kudhulumiwa au nchi yenu ni failed state 🤣🤣🤣 nchi munayojiita wasomi sijui matajiri hakuna hata uwezo wakuajiri madaktari na kuwatengezea mazingira mazuri ya KAZI, Ile GDP munayosifu hapa KAZI yake ni nn au ni fake GDP?🤣🤣🤣Have you ever asked yourselves how much benefits strikes have brought in Kenya? Ama ni kucheka tu kijinga..
Demonstrations are rights which Tanzanians cannot exercise not because they are satisfied but because they are intimidated. Wacha waandamane haki zao zipate suluhu for the better future. Nyinyi endeleeni kudunishwa na kucheka watu ambao hawakubali kudhulumiwa 😂😂😂
You see since i have been in JF, i am now beginning to see firsthand the meaning behind the phrase “bongolala”
What are you talking about.? 😂😂😂 Kwani haujaona picha za uwekaji wa jiwe la msingi.?Buda subiri hata project ianze kwanza. Shida yenyu mkianza kitu mnakuanga too late to the game, kisha mnajidai sana. Tungalikuwa na mentality ya kibongo, si tungewa annoy sana vile huwa mnadai eti mnatukopi, mara street cameras, mnatukopi, esegiara mnatukopi, solar power mnatukopi …. Makinika wabongooo… hata na hio mentality sijui mbona mwajiita wabongo
Ianze mara ngapi🤣🤣🤣🤣 basi njoo uianzishe weweBuda subiri hata project ianze kwanza. Shida yenyu mkianza kitu mnakuanga too late to the game, kisha mnajidai sana. Tungalikuwa na mentality ya kibongo, si tungewa annoy sana vile huwa mnadai eti mnatukopi, mara street cameras, mnatukopi, esegiara mnatukopi, solar power mnatukopi …. Makinika wabongooo… hata na hio mentality sijui mbona mwajiita wabongo