Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Endelea kuota kijana.
Mambo makubwa USA yanamsubiri aje ahangaike na Kenya seriously??
Hio Taiwan bado inamtoa jasho.
Usije ukasahau Tanzania ina ushirikiano wa kijeshi na CHINA toka enzi za Mao Zhe dong.
Jichanganyeni hamtaacha kuona rangi msizozijua.
 
Yaani by March 10 , two weeks wakenya walikua Jamaa alikuwa mgonjwa??
Na ww unaamini huu upuuzi🤣🤣🤣🤣

Yani rais wa nchi aje Nairobi nchi isijue Kwanza unajua ulinzi wa rais uko VP wewe😅

Ikiwa mwinyi Rais mstaafu alipelekwa England kwa matibabu alaf baadae matibabu yakahamia mzena hospital itakua Rais ambaye Yuko madarakani
 
Kwahiyo ni TPDF vs KENYA+USA ARMY means Tanzania ni Jeshi Boraaa.

Senge sana, kiingereza kingi wakati unathibitisha kua Jeshi lenu ni la Ovyo, haliwezi himili invasion.
 
Sijui shida nini.
Hizi boda boda zingepigwa marufuku kwa kweli, dah! Mi sijawahi fika Tanzania wakati zimeanzishwa, ni shida kwa kweli.
Sijui shida ni nini. Huku south Africa, botwasana, Námibia huwezi oná bodaboda. Zimejaa zile toyota hiace Kila mahali.
Sisi tuliondoa hiace mjini miaka hiyo. Sasa tumesajili bodaboda na bajaji.

Solution ni simple. Waache kusajili bodaboda na bajaji. Waacha kuimport. Hiz zilizopo zifanye route za mitaani Ndani, yaan mfanoukishuka kimara korogwe BRT. Boda na bajaji ndo zichukue watu huko mitaani.
bodaboda na bajaji zisitumie barabara kubwa yoyote kufanya biashara.
kuhusu Uber na bolt. Hao wasajiliwe. Wavae vizibao, wavae Kila kitu kinachopaswa kuwepo wakati wa kuendesha pikipiki. Ikiwemo helmet mbili na wafuate sheria kama wanavyofanya Rwanda.
latra ni wazembe sana. Kusajili Daladala. Hiv vicoster vinazidiwa na watu wanabanana. Wafikirie kusajili mabasi yanayoweza kubeba hata watu 50 mijini na yawe mapana ili watu wasibanane kama sasa. Tena yawe na AC na viti vya kutosha na ikiwezekane wamiliki waweke WIFI. Wapandishe nauli Hata kidogo lakini mtu atoe nauli kulingana na huduma

TUjipende watanzania. Hakuna mtu atakuja kututatulia matatizo yetu

SIDHANI KAMA KUNAHITAJIKA BAJETI YOYOTE KUFANYA HIVI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…