President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,608
- 94,198
As usual naiona forehead π€£ π€£ π€£ π πNdio maana Baba Levo aliwaambia wako miaka 25 nyuma. π π π Bongoslum ndio ufanyiwe brain surgery lazima uendee muhimbili au utakufa bure.
View: https://x.com/paukwa/status/1230370420123193345?s=20
wawekee madesigner wa vitu vya ndani kama samani za ndani vitanda,kabati tv showcase urembo wa ndani na bustanini tz hatushikiki mkuu.Out of Context je hiyo ni picha ya mnyama kama mlivyo weka? π€£π€£π€£
Tanzania inawaumiza sana kichwa. Everyday you copy from Tanzania. I believe now kenya do not have designers.
Cape town road trip using personal cars , like on to two weeks njiani
Baba level ni Nani kwenye nchi hiiπππNdio maana Baba Levo aliwaambia wako miaka 25 nyuma. π π π Bongoslum ndio ufanyiwe brain surgery lazima uendee muhimbili au utakufa bure.
View: https://x.com/paukwa/status/1230370420123193345?s=20
Aliekwambia wiki mbili ni Nani?? Siku 2 Tu uko South Africa Tanzania to Zambia to Zimbabwe to South AfricaCape town road trip using personal cars , like on to two weeks njiani
Si hii ushamba ya mabuses.
Cape town road trip using personal cars , like on to two weeks njiani
Si hii ushamba ya mabuses.
Usitulaumu TPDF walaumu jeshi la Congo walopewa jukumu kwa hilo eneo.wheres the rag tag tz army and the others from sadc...lol
View: https://youtu.be/Mb60jdnItnc?si=vGEojT7p6yA7uVuA
Leta huo ushahidi wa Magufuli kutibiwa Kenya.Magufuli na Tundu Lissu. Wewe pia ungeweza kuafford ungekuja tu.
Hayo maeneo wanayoyachukua hao rebbel yalikua chini ya fardc na wazalendo,SADC bado hawajafika na soon wanafika utasikia vilio,kingine SADC sasa hivi hawawataki hao fardc maana wengi wao wananunuliwa then wanauza ramani kwa adui,wacongo wamekosa uzalendo kabisa kwa nchi yaoUsitulaumu TPDF walaumu jeshi la Congo walopewa jukumu kwa hilo eneo.
Ulisema ukionyeshwa Route ya KQ ya Guangzhou utapeana $1000, sasa umebadili magoli tena uko kwenye ownership? Nina uhakika hata $100 kwa account huna.KQ owned by KLM is not true? π€£ π€£ π€£ π€£ π€£
Atoe wapi?Ulisema ukionyeshwa Route ya KQ ya Guangzhou utapeana $1000, sasa umebadili magoli tena uko kwenye ownership? Nina uhakika hata $100 kwa account huna.
Acha taarabu za Mombasa lete ushahidi.Tanzanians knew about the sickness and death of Magufuli from Kenyans. Ama hiyo pia unataka kupinga?