Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

WHere are referral hospitals 🤣 🤣 🤣 🤣 Unajificha kwenye kicha
Umekubali kuwa Kenya ipo na only 14 Referral Hospitals ili tuendelee kwenye mada nyingine? 🤣🤣🤣
14 gani na kila county ina referral hospital na county zingine zina zaidii ya tatu na bado kuna National referral hospital. Our level 5 zinafanya hadi brain surgery, bongoslum hospitali za mkoa ngapi zinafanya brain surgery?
 
Hospitali 11 pekee. 😂😂😂😂
Image
 
Nenda kadanganye kibera tunajua hao ni special forces unit za Kenya ambao wengine walienda drc na wakatolewa balu na tsiekedi

your regural soldier look like this with their beloved G3 rifle and things like sufuria in the head👇👇🤣🤣🤣🤣👇👇View attachment 2931473View attachment 2931474View attachment 2931475View attachment 2931476View attachment 2931477acha ushamba helmet kama hizo bado zipo in service hata majishi makubwa kama India bado Wana vaa View attachment 2931480View attachment 2931481
Kanyaga kichwa bado anapumua pumbav yeye. 😂😂😂
 
14 gani na kila county ina referral hospital na county zingine zina zaidii ya tatu na bado kuna National referral hospital. Our level 5 zinafanya hadi brain surgery, bongoslum hospitali za mkoa ngapi zinafanya brain surgery?
🤣🤣🤣🤣 Ni kipindi cha kucheka sasa. Can you show us hizo County referral Hospitals tucheke

Tofauti na hizi hebu weka tuone 🤣🤣🤣👇👇👇

List of Level 5 Public Hospitals in Kenya

1. Coast General Teaching and Referral Hospital

2. Othaya Level 5 hospital

3. Embu Level 5 Hospital

4. Machakos County Referral Hospital

5. Meru Level 5 Hospital

6. Thika Level 5 Hospital

7. Kakamega Level 5 Hospital

8. Garissa Level 5 Hospital

9. Jaramogi Oginga Odinga Teaching and Referral Hospital (JOOTRH)

10. Naivasha Level 5 hospital

11. Mama Lucy Kibaki Hospital

12. Nyeri Level 5 Hospital

13. Makueni County Referral Hospital

14. Kiambu Level 5 Hospital

Hospitali 11 pekee. 😂😂😂😂
Image
Hebu tuoneshe hapo Kenya ni Hospitals ngapi zinasafisha damu tucheke 🤣🤣🤣🤣

MSD YANUNUA MASHINE 140 ZA KUSAFISHA DAMU KWA WAGONJWA WA FIGO, GHARAMA KUENDELEA KUPUNGUA

MFAMASIA Mkuu wa Serikali Daud Msasi amesema Serikali kupitia Bohari ya Dawa(MSD) imeshanunua mashine 140 kwa ajili ya kusafisha damu kwa wagonjwa wa figo, hivyo gharama za kusafisha damu kwa wagonjwa hao itaendelea kupungua.
 
🤣🤣🤣🤣 Ni kipindi cha kucheka sasa. Can you show us hizo County referral Hospitals tucheke

Tofauti na hizi hebu weka tuone 🤣🤣🤣👇👇👇

List of Level 5 Public Hospitals in Kenya

1. Coast General Teaching and Referral Hospital

2. Othaya Level 5 hospital

3. Embu Level 5 Hospital

4. Machakos County Referral Hospital

5. Meru Level 5 Hospital

6. Thika Level 5 Hospital

7. Kakamega Level 5 Hospital

8. Garissa Level 5 Hospital

9. Jaramogi Oginga Odinga Teaching and Referral Hospital (JOOTRH)

10. Naivasha Level 5 hospital

11. Mama Lucy Kibaki Hospital

12. Nyeri Level 5 Hospital

13. Makueni County Referral Hospital

14. Kiambu Level 5 Hospital

Wajir County Referral Hospital inafanya Laparoscopic Surgery. Bado nakupiga na facts. 😂😂😂 Huna content, Bongoslum hospitali za mkoa ni kama dispensaries tu.

View: https://x.com/Garaadsaney/status/1663214025432260608?s=20
 
Nenda kadanganye kibera tunajua hao ni special forces unit za Kenya ambao wengine walienda drc na wakatolewa balu na tsiekedi

your regural soldier look like this with their beloved G3 rifle and things like sufuria in the head👇👇🤣🤣🤣🤣👇👇View attachment 2931473View attachment 2931474View attachment 2931475View attachment 2931476View attachment 2931477acha ushamba helmet kama hizo bado zipo in service hata majishi makubwa kama India bado Wana vaa View attachment 2931480View attachment 2931481
You know you lost the battle when you start posting outdated photos…. Thank you for admitting you lost..🤣🤣.. ati G3s?… hahaha… KDF last used those 10 years ago.. all KDF units main gun is SCAR rifle….
 
Sasa unaonesha kaeneo hako 🤣 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇
Unataka ulinganishe uchafu huu na Tanzanian Referral Hospitals

View attachment 2931503
Bado unapost fence. 😂😂😂 Bongoslum ina hospitali mbili tu za maana zingine zote ni dispensaries kubwa.😂😂😂

Tuelekee Mombasa sasa. Yani nimekuzungusha karibu Kenya yote, showing you different complex surgeries. Wewe unatuonyesha fence tu.

View: https://x.com/DoHMombasa/status/1759958926953533612?s=20
 
Back
Top Bottom