Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unawezaje pata revenue in sports kama hauko good in sports??
Tanzania is good at Football and boxing.
Na pia hiyo Fifa women world cup Tanzania ishashiriki we Kenya umewahi shiriki???
Maybe you don't understand the meaning of good in this context.

When I ask what Tanzania is good at I expect you to show me the awards and trophies Tanzania won in a particular sport.

Something like this.

View attachment 2930178
Tupostie Earnings ya mshindi tukuletee mishahara na usajili unaofanywa na timu za Tanzania kabla Simba na Yanga tutakuwekea timu moja ya Singida
 
Weekend Tunapata raha hapa Dar. Tunaendelea na viwanja vikali vya kula bata hapa Bongo.

Huko kenya watu wanavuta hewa mbaya kutoka kwenye flying toilets 🤣 🤣 🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…