Who knows CAF?Tanzania kule CAF timu zake zimeingiza zaidi ya Tzsh 4 billions kwa kuingia robo fainali.
Ninyi endeleeni kuruka ruka tuuu na michezo isiyo na tija.
Mkiambiwa mlete mapato mnakimbia.
Kila siku ni miradi ya Kila aina.Lami Kila sehemu na Wala halingi 🔥🔥
View: https://youtu.be/6dxodEYCi2c?si=bAJyIOppzuVyDPDb
View: https://youtu.be/zHZIVy75QpM?si=szLf5RhZuh0vj9F5
Acha utoto.Ni sehemu ya matumizi pia
Ukubwa ni upi?Acha utoto.
Umeona CAF in this list?Tanzania kule CAF timu zake zimeingiza zaidi ya Tzsh 4 billions kwa kuingia robo fainali.
Ninyi endeleeni kuruka ruka tuuu na michezo isiyo na tija.
Mkiambiwa mlete mapato mnakimbia.
Kujiheshimu.Ukubwa ni upi?
Mzee hao ndio chawa tunaowaongelea. They are stupid.Kujiheshimu.
Yale mambo aliyoyafanya Makamba jr siyo poa kabisa, kumbuka watu wanaona nchi yao inavyoliwa na hawapendi. Na wewe unapoleta utoto kana kwamba ni mazuri tunakuwa hatukuelewi.
Mtag kwenye account yake.Kujiheshimu.
Yale mambo aliyoyafanya Makamba jr siyo poa kabisa, kumbuka watu wanaona nchi yao inavyoliwa na hawapendi. Na wewe unapoleta utoto kana kwamba ni mazuri tunakuwa hatukuelewi.
Bado unaruka ruka na kelele.Umeona CAF in this list?
Remember in the listed top 10 most popular tournaments Kenya is good at three of them.
Summer Olympic games
Winter Olympics Games
Rugby World Cup
View attachment 2930098
LEte mapato ama faida ya pesa.Semi Finals is set. Kenya is performing well at the world stage while Tanzania can't even manage a single win at AFCON
View attachment 2930158
We ni matako kweli.Who knows CAF?
Kenya is participating in World competions wewe unaongelea competition ya villagers not known by anyone.
Duniani mashindano yanayoleta pesa nyingi ni,Umeona CAF in this list?
Remember in the listed top 10 most popular tournaments Kenya is good at three of them.
Summer Olympic games
Winter Olympics Games
Rugby World Cup
View attachment 2930098
Nimekuuliza what sport Tanzania is good at, not revenue.LEte mapato ama faida ya pesa.
Huna macho?Duniani mashindano yanayoleta pesa nyingi ni,
-UEFA champions league including Europa.
-EURO
-FIFA CLUB WORLD CUP
-FIFA WORLD CUP.
Sijaona hayo mashindano hapo.
WATU WANATIZAMA PESA BATA NCHI KAVU WEWE HAWATIZAMI TU POPULARITY.
Unawezaje pata revenue in sports kama hauko good in sports??Nimekuuliza what sport Tanzania is good at, not revenue.
Sikutizama vizuri.