Why didn't they organize it in uchawiland?Kuna mtu amekataa kuwa walikuwepo kwa ajili ya mazoezi yaliyohusisha nchi 23?
Mazoezi yalikuwa yanaongozwa na US army not your Kenya Dimwits Force.
Tunakataa upotoshaji wa kuweka habari nusunusu
Hapo ni Kenya, show us any info, na unaona hapo Wakenya wanafundisha, huyo mzungu ni mkenya?Wanakuja training Kenya na wanasema jeshi lao ndio strongest in the region. π€£ π€£
And why do you think the US army chose Kenya as the base of that training?Kuna mtu amekataa kuwa walikuwepo kwa ajili ya mazoezi yaliyohusisha nchi 23?
Mazoezi yalikuwa yanaongozwa na US army not your Kenya Dimwits Force.
Tunakataa upotoshaji wa kuweka habari nusunusu
Tanzania ni nchi huru, Tulikataa kuwakaribisha US kujenga kambi yao ya jeshi.Why didn't they organize it in uchawiland?
Tanzania ni nchi huru, Tulikataa kuwakaribisha US kujenga kambi yao ya jeshi.And why do you think the US army chose Kenya as the base of that training?
Tanzania ni nchi ya watu wa Primary School dropouts. The US can't set base in Tanzania cause they can't reason with people having low educational level.Tanzania ni nchi huru, Tulikataa kuwakaribisha US kujenga kambi yao ya jeshi.
Does this shit qualify for CAF, FIFA standards? Eti Concentrated in EA?Nairobi has more concentration of good stadiums than anywhere in East and Central Africa.
Dandora the only available pure football stadium so far in East Africa.
View attachment 2929456View attachment 2929457
And yet you willingly participated in their trainings? What a bunch of double standards!Tanzania ni nchi huru, Tulikataa kuwakaribisha US kujenga kambi yao ya jeshi.
Hii ndio response yako na unajiita mwenye akili!Tanzania ni nchi ya watu wa Primary School dropouts. The US can't set base in Tanzania cause they can't reason with people having low educational level.
Nenda kadanganye vibera wenzako.
View: https://x.com/bbcafrica/status/1762192837490114950?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Huko Dar Kuna hadi mashamba za mihogo running into hundreds of acres π€£π€£How does that change the fact that 12km from dar is a slum cbd unaweza jipata katikati ya maji bila kitu. π π π
Tanzania haina ugomvi wowote na US, Tanzania huwa inashiriki mazoezi mbalimbali ya kijeshi na nchi mbalimbali kama China, India nk.And yet you willingly participated in their trainings? What a bunch of double standards!
Ndio nashangaa, Unaona kabisa anayetoa training ni Mzungu, ila mijitu inakaza fuvu eti ndio wanafundisha TPDF yaani ni Jokes, TPDF ijifunze kwa KDF kwa lipi? Mbinu ya kuiba mikate na kukimbia vita?Kuna mtu amekataa kuwa walikuwepo kwa ajili ya mazoezi yaliyohusisha nchi 23?
Mazoezi yalikuwa yanaongozwa na US army not your Kenya Dimwits Force.
Tunakataa upotoshaji wa kuweka habari nusunusu
So kinachokuuma ni hayo mazoezi kuandaliwa Kenya ama?Tanzania haina ugomvi wowote na US, Tanzania huwa inashiriki mazoezi mbalimbali ya kijeshi na nchi mbalimbali kama China, India nk.
Ulitakiwa uweke picha inayoeleweka kama hii sio unaweka vitu nusunusu.Wacha kujifanya mjanja na hakuna kitu unajua. Si ndio hao wanajeshi wenu hapo na masufuria kwa kichwa. π π π
But the truth is that Niko na akili kukuliko.Hii ndio response yako na unajiita mwenye akili!
View: https://x.com/thomasjkibwana/status/1747320696705892838?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Huyu kondoo huwa ana tabia ya kuwekea watu kitu chenye hujasema.So kinachokuuma ni hayo mazoezi kuandaliwa Kenya ama?
Sa unataka kulia. π π π Doesn't change the fact walikuja na oversize attires.Ulitakiwa uweke picha inayoeleweka kama hii sio unaweka vitu nusunusu.
So slum lazima itajwe na mzungu ndio iwe slum. Hii inferiority complex itawaacha lini?Zoom hapo utuoneshe slum ambayo mzungu hajawahi kuona ila wewe ndio umeona zoom hapo tuone slumπ€£π€£π€£π€£π€£
Yani ww uwe na akili kuliko mwenye Google earth πππππ
Show me a pure football stadium in Tanzania if at all mko nayo. And I have said stadium not field, so don't post that Azam grazing field here.Does this shit qualify for CAF, FIFA standards? Eti Concentrated in EA?
Huaga mnachekesha sana na sifa zenu za kijinga.
Ona sasa jeshi lenu limepewa nguo za kukodi na night vision, mnajiona jeshi kubwa, huku Baringo Bandits usiku na mchana wanawatungua.
Uganda mlimshindwa Magingo, Congo mmekimbia, Alshsbaab washafanya Ukanda wa Lamu, mandela na Kenya North West usiwe safe.
Kazi kutupigia kelele na Jeshi ya Photoshoot.