Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

kifo cha huyo mwamba kiliniuma sana mimi ni mpinzani lakini nlikuwa namkubali sana na nlimpigia kura nlilia sana kwa kifo chake tutachukua muda sana kumpata raisi mwenye maamuzi kama yeye na upendo kwa nchi yake.
 
How do you control our country with 1 tier 3 data center? πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Wewe hata sidhani you understand how the internet works. Ndio maana unadhani kuunganisha fibre cable zenu na nchi jirani is controlling their internet.
Umekasirika nchi yenu kuungwa na Mkongo wa Taifa kutoka Tanzania?
 
Umekasirika nchi yenu kuungwa na Mkongo wa Taifa kutoka Tanzania?
The internet is a network of networks, nikasirishwe aje na common knowledge. πŸ˜‚ πŸ˜‚ Haikosi wewe ni primary school dropout.
 
Had a feeling Talanta Stadium was a PPP project. The completion could even be before the deadline.

Source

View attachment 2926264
Mali nyingine ya mchina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata mkitaka kufanya national functions zenu lazima mkamuombe mchina funguo na mtoe viingilio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ama kweli mchina yupo Kunyaland to stay 😁
 
Haya ni mambo alianzisha Magufuli, ujenzi wa shule za ghorofa na bab'kubwa. Kabla ya hapo hakukuwa na rais yeyote aliyekuwa na uthubutu wa kujenga shule za namna hii.

Na hii ndio Magufuli legacy yenyewe, UTHUBUTU.
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Shule Nchi hii alianzisha kujenga Magufuli 😁😁😁😁😁😁

Bado hujasema Hadi useme ,Soma kazi ya Samia hiyoo πŸ‘‡πŸ‘‡
 
That's data from NBS, wataalamu wa statistics huko bongoslum. Wewe huna data, your opinions are based on emotions.
Hapo ndiyo jamii yangu ya wa Tanzania huwa inanifurahisha....
mtu anakataa data....aibu naona mimi...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
That's obvious
Swahili is 70% mijikenda.
 
Mali nyingine ya mchina πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hata mkitaka kufanya national functions zenu lazima mkamuombe mchina funguo na mtoe viingilio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Ama kweli mchina yupo Kunyaland to stay 😁
Unajua maana ya PPP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…