NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,288
- 19,632
Sindano hiyo inawaingia kweli kweli.🤣🤣Wakenya bana mzee tunashukuru kwa kutuachia kumbukumbu, sasa na unaambiwa uwanja wa 330m dollars unajengwa kwa Miezi 12.
Na hizo dollars mnazitoa wapi ikiwa vimradi vya SGR, EXPRESSWAY, mmeshindwa mpaka mchina akachukua kwa miaka.
MSITEGEMEE HAPO MCHINA ATAFANYA KAMA EXPRESSWAY, KWA MAPATO GANI UWANJA UTAINGIZA?
MTAKUA MNAKIMBIA RIADHA KILA WIKI?
Mi nilifikiri Mrisho ndo mkurugenzi mkuu?
Ndio unatumika 🤣🤣 baada ya mechi ya ligi Yao wanaingia ng'ombe na mbuzi pia Wana mechi zao wanachezaDuuhhh, huu ni uwanja wa mpira unatumika kwenye ligi kule kenya?
Ana hoja ya msingi kwamba ukipiga hesabu hakuna chizi atajenga stadium ya gharama hiyo huko kunyaland (non footballing nation) this time mtatakiwa mtoe pesa mfukoni hakuna kutegemea investors, na Gok haina huo uwezo, hapo naona kabisa bukhungu party 2 on one n two beiiiib 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Sindano hiyo inawaingia kweli kweli.🤣🤣
Mi nilifikiri Mrisho ndo mkurugenzi mkuu?
Hiyo Sino Tan sio mchezo
KICHEKESHO UNAWEKA PICHA YA TENT NA NYIE MNASEMA NI UWANJA HUO 😁 😁 😁
Na hii ilikuwa hivyo hivyo toka kipindi cha Hamisi kurudi nyuma (yaani, mkurugenzi mkuu ndo huyo huyo mkurugenzi wa Dar) au wamebadilisha mfumo?Mrisho ni Mkurugenzi wa DSM Port.. Mbossa ndio Mkurugenzi Mkuu.
Prices of all these stadiums, particularly Kenyan, have been inflated. No wonder you fools ended up with that fucked up railway project.
Huo umeme hatutatosha, tutanogewa tuu.Hiyo Sino Tan sio mchezo
Kuna ziara niliona walisema hiyo kongani peke yake ikiwa full operational itatumia umeme wa 1,000 MW. Yaani nusu ya Umeme wa Nyerere Hydro.