Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unatoka kutizama mpira usiku saa saba halafu unaenda kupanda matatu. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunawaambia hawaelewi, kuna more than stadium kwenye kuhost tournament. Population nzima inaboost riadha, na rugby. Na hawajawahi experience mashindano ya kimataifa ya football, even kalenda ya FIFA wanaenda nchi nyingine kuomba uwanja.
 
Ila ligi ya NBC sina timu asee, ila kimataifa, nadhani ni aina ya shabiki lia lia wa hizo timu mbili damn,

Sababu ni moja wakishinda Tanzania imeshinda.
Bro mm ni Manchester United hata wakenya humu wanajua, ila kwa sasa siangalii mpira wa ulaya na sijui chochote kuhusu mpira wa ulaya hata uefa sina ninachojua, hapo zamani nilikuwa sipendi mpira wa bongo mana kulikuwa na ubabaishaji mwingi ila kwa sasa naona mpira wa ulaya ndiyo una ubabaishaji hususan pale man u na ndiyo maana nkageukia mpira wa bongo, yn nowadays naifatilia Dar es salaam Young Africans kuliko timu yoyote duniani na nafurahishwa na NBC kuliko EPL.
 
Nauliza ule uwanja wenu mnayojigamba nao sana uligharimu hela ngapi? Na kama ni uongo alichoandika kuhusu gharama ya huo wenu mbona ukubali alichosema kuhusu bei jumla are you normal πŸ˜‚πŸ˜‚
Yani uwanja ulijengwa miaka makumi yaliyopita unatuuliza leo? 🀣 🀣 🀣 🀣
 
Nyie wakenya mlilogwa na nani? Tanzania imeandaa mechi ya kwanza ya super league, Tanzania ndiyo nchi pekee Africa mwaka huu kuingiza timu mbili robo fainali cafcl, Tanzania ina mashabiki wengi wa soka Africa ukitoa nchi za kiarabu Africa kaskazini, hiyo caf ina uchizi kiasi kupeleka ufunguzi na fainali Kenya, hivi nyie mnaakili kweli? Au mnaleta uchale kwenye mambo serious.

Lastly, ni kwamba Kenya haitoandaa afcon take it to the bank.
 
Hio kinywaji unatumia sasa jitahidi uache πŸ˜‚πŸ˜‚
Huu uwanja umeanza kutumika 2007
 
Kama mm mwamba nilihama kabisa mawazo kwanini niumie na waingereza kwani wanashabikia timu zetu mm na Ligi Kuu
 
DODOMA πŸ‘‡TRC hq.. DODOMA outer ring road progress πŸ‘‡ .. DODOMA SGR station πŸ‘‡. Nyie wanuka mavi tegemeeni kuumia anytime soon kwasababu hii miradi iko mbioni kuzindiliwa "hatuongei ongei, tufanya, hatufanyi fanyi, tunafanya kazi" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Don YF. Ulitubeza mbwa wew. Njoo leo hapa uumie, sisi ndio wakali wa hizi kΓ zi
 
KANAIRO NairobiWalker Eti mumesema nyumba za bongoslum ni vitenge surrounded with cabros. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚

They should take notes on how to utilize green spaces. πŸ‘‡πŸ‘‡

Umesahau they don't know what green spaces are?

Umewahijiuliza why they refer to Nairobi as pori? It's because they don't know what a green space is
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…