Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,750
Viti vya barβ¦Unaniuliza mm muulize mkenya alieandika
Kuweka mabati Tu 470m ksh ππππ mulilaaniwa na nani
Hii ndio kitu ya 470m
View: https://twitter.com/MakauWaMuli/status/1664221524423786500?t=D_vaakvfhdBmE4MbcmeiSA&s=19
Alafu bado wanuka mavi wanakuambia eti Gor mahia inawezana na Simba na Yanga hii, haki ya mama sisi sio milima tutakutana π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Musiwaambie japo sijapenda πππ
Tanzania ndio nchi pekee imepeleka team mbili robo fainali CAF champion
View: https://twitter.com/CAFCLCC/status/1763986825356443688?s=19
Stadium ya kisasa inajengwa one year from scratch. Well ngoja tuone.Kitanisaidia nn chizi wewe πππ
Mchina anachukua kila kitu Kenya hamuna hata pesa ya kununua nguo wala chakula
View: https://twitter.com/Nyaassh/status/1763474681913336274?t=s6KTBSxxndaRrYF3uSXeHw&s=19
Bro mm nilikuwa naombea simba iingie ili tujue mkubwa nani nchi hii mana mkubwa wa nchi hii ndio mkubwa wa east and central Africa.Musiwaambie japo sijapenda πππ
Tanzania ndio nchi pekee imepeleka team mbili robo fainali CAF champion
View: https://twitter.com/CAFCLCC/status/1763986825356443688?s=19
Na hawakuona aibu kualika viongozi wa FIFA, maana walijua we will not disappoint, mpaka tuzo ya mashabiki bora tulibeba, tulitoa the best atmosphere ya michuano.South Africa kuna viwanja vizuri, Egypt kuna viwanja vizuri, Morroco vile vile, Tunisia vile vile, ila walichagua BENJAMIN MKAPA STADIUM kwa ufunguzi wa first ever AFRICAN FOOTBALL LEAGUE
Bro mm niliiombea Simba ishinde ili wakunya wajue kwamba sisi ndiyo baba ukanda huu, hatuna mpinzani, tumepeleka timu afcon, tumeingiza timu mbili cafcl, Afrika nzima hakuna nchi imepeleka timu mbili robo fainali zaidi ya timu za kariakoo kutoka NBC premier league.Simba leo kaupiga sana, alafu inatokea mijitu inasema itahost AFCON wakati unakuta mwaka mzima maofisa wa CAF hawajawahi kanyaga huko, kuhost ni zaidi ya Uwanja, how about usalama?
Huko Kenya mnaweza cheza match saa nne usiku inayoisha saa 6, na mashabiki kurudi maeneo mengi ya jiji la Nairobi saa 7 usiku?
Alafu unataka CAF warisk kupeleka ambapo hawapaelewi, waache nchi ambayo kila uchwao wapo kiofisi nayo mwaka na mwaka.
Unatoka kutizama mpira usiku saa saba halafu unaenda kupanda matatu. πππSimba leo kaupiga sana, alafu inatokea mijitu inasema itahost AFCON wakati unakuta mwaka mzima maofisa wa CAF hawajawahi kanyaga huko, kuhost ni zaidi ya Uwanja, how about usalama?
Huko Kenya mnaweza cheza match saa nne usiku inayoisha saa 6, na mashabiki kurudi maeneo mengi ya jiji la Nairobi saa 7 usiku?
Alafu unataka CAF warisk kupeleka ambapo hawapaelewi, waache nchi ambayo kila uchwao wapo kiofisi nayo mwaka na mwaka.
Render as usual, inaonesha jamaa ameumia sn kwahiyo now anatafuta ahueni na render inayobadilishwa kila siku π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Kwanza sijawahi kusikia kuna game imechezwa usiku Kenya.Unatoka kutizama mpira usiku saa saba halafu unaenda kupanda matatu. πππ
Asante kwamba Yanga imewekwa juu kabisa, manaake ndiyo bingwa mwaka huu.
Nauliza ule uwanja wenu mnayojigamba nao sana uligharimu hela ngapi? Na kama ni uongo alichoandika kuhusu gharama ya huo wenu mbona ukubali alichosema kuhusu bei jumla are you normal ππUnaniuliza mm muulize mkenya alieandika
Kuweka mabati Tu 470m ksh ππππ mulilaaniwa na nani
Hii ndio kitu ya 470m
View: https://twitter.com/MakauWaMuli/status/1664221524423786500?t=D_vaakvfhdBmE4MbcmeiSA&s=19
Ila ligi ya NBC sina timu asee, ila kimataifa, nadhani ni aina ya shabiki lia lia wa hizo timu mbili damn,Bro mm niliiombea Simba ishinde ili wakunya wajue kwamba sisi ndiyo baba ukanda huu, hatuna mpinzani, tumepeleka timu afcon, tumeingiza timu mbili cafcl, Afrika nzima hakuna nchi imepeleka timu mbili robo fainali zaidi ya timu za kariakoo kutoka NBC premier league.