Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wakunyanduliwa leo wamepata project yao mpya ya stadium,wanavyoflow nayo ndio utajua walikua na kiu ya namna gani ya vitu vipya!na halafu iko wanachotamba nacho TZ tayari tunacho zaidi ya miaka 20 iliyopita,na kuna project 2 kama hizi underway,hapo ndio utawajua kunyanduliwa ni washamba namna gani
 
Finals will be in Nairobi. Nobody knows Dar.
IF NO BODY KNOWS DAR BIG AFRICAN CLUB TEAMS AND NATIONAL TEAMS COULD NOT CHOOSE MKAPA STADIUM AS THEIR HOME STADIUM IN AFCON QUALIFIERS AND CAFCL QAULIFIERS.
AND AFRICAN FOOTBALL LEAGUE COULD NOT BE OPENED IN DAR ES SALAAM ON WHICH EVEN ARSENE WENGER ATTENDED MATCH SIMBA VS AL AHLY IN MKAPA STADIUM.
SO HOW DID ARSENE WENGER KNOW DAR ES SALAAM?
Nimeandika kwa herufi kubwa uelewe ukubwa wa soka Tanzania ukoje kimataifa
 
No bady knows hizo slums zenu labda,juzi tu dar imefanyika ufunguzi wa africa super league,endelea tu kujifungia hapo kibera nowdays mambo yamebadilika sana
Ndio mimi namshangaa mataifa makubwa kisoka Africa kama manne yalichagua uwanja wa Mkapa kuwa uwanja wao wa nyumbani mwaka jana katika kufuzu AFCON,pia baadhi ya club kubwa Africa kufuzu CAF zilichagua uwanja wa Mkapa kuwa uwanja wa nyumbani na haijatosha African football league kwa mara ya kwanza ikazinduliwa uwanja wa mkapa WATU WAKUBWA KISOKA DUNIANI RAIS WA FIFA INFANTINO NA KOCHA WA ZAMANI WA ARSENAL ARSENE WENGER WALIHUDHURIA NA KUTIZAMA MECHI MWANZO MWISHO.
Asa namshangaa asemavyo Dar haijulikani .
 
Usihangae. Nyang'au wengi bado wanaishi na imani za kizamani😎
 
Bank zinazopatikana huu mtaa.
CRDB
NMB
Azania bank
TADB
TCB
BOT ipo mitaa hii pia.
 
Naona hali ya fedha sio nzuri mmeamua kujenga guduria,sabada (sufuria)🤣🤣🤣
 
Na dodoma pia kuna uwanja mpya utajengwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…