Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,805
- 41,709
Wakenya wanajidanganya hadi wenyewe, ati mtu anadai kwamba anajenga nyumba na bei ya kujengea hajui 😂😂.Best house in EA hana hata boq? Nyumba zinazojengwa kienyeji ndio watu hawajui hata mwisho watatumiq kiasi gani. Ila mansion nyumba serious kabla ya kujenga unajua kila kitu. Na anajenga mkandarasi mshakubaliana bei sio fundi maiko unamuita kila ukipata vilaki kadhaa.
Hiki ni nini mzee?😂😂Homa Bay Pier and Lake Front Rehabilitation
Tayari iko under construction na updates utazipata tu hapa by force by fire.Hii renda ni mara ngapi utapost?
Wapi Kunyaland utaona haya maajabu? 😁😁When my ushago mansion is finished, I will post it..am sure it’s something our neighbors down south have never seen … 7 bedrooms, 6 baths, pool and Jacuzzi…indoor gym… I am even including a movie theater..which is something I see missing in Kenya’s big mansions ( I don’t know why)but common in the US … it’s loading … God is Great!
Kwanini usipost hizo updates.? We unapost render tu.?Tayari iko under construction na updates utazipata tu hapa by force by fire.
Kwasababu hatuchukui miaka kumi kujenga ghorofa kama nyinyi.Kwanini usipost hizo updates.? We unapost render tu.?
Umekariri eenh?Kwasababu hatuchukui miaka kumi kujenga ghorofa kama nyinyi.
Chizi huyo, katafuta picha ya Kariakoo during corona ajiliwazeWe jamaa unaugua akili.
Nikuoneshe ubize wa kariakoo??
Hapo kweupe kabisa kama Magomeni ufananishe na Kariakoo?View attachment 2919516
Ama ubize upi unauzungumzia wewe?
Kind of randomly rentals they gonna pooping up on your eyes when hunting them in Dar, usije na ushamba wako wa pipeline huku, hayo mambo hatunaWhen my ushago mansion is finished, I will post it..am sure it’s something our neighbors down south have never seen … 7 bedrooms, 6 baths, pool and Jacuzzi…indoor gym… I am even including a movie theater..which is something I see missing in Kenya’s big mansions ( I don’t know why)but common in the US … it’s loading … God is Great!
Ndio maana mie nikawa nashangaa hivi huyu jamaa anaijua kariakoo kweli!?Chizi huyo, katafuta picha ya Kariakoo during corona ajiliwaze
Sio kama hatuna rentals za ghorofa Tanzania, zipo lakini ni classic sio kama yale matakataka yenu ya pipeline na kwingineko, usipojenga classic kama hivi hakuna mtanzania atataka hata kuiona nyumba yakoUshago tings.....the environment slurps differently
View attachment 2919272View attachment 2919273View attachment 2919274View attachment 2919275View attachment 2919276View attachment 2919277
darislum hii wall imetuonyesha where the real slum city of dar isJust look at aerial views of Nairobi and aerial views of Dar and you'll see which has better roofs. Usituletee twitter ambayo probably ni ngómbe ya Tanzania from this group imepost inajifanya mkenya. 🤣 🤣
View attachment 2919394View attachment 2919395
kitenge mansions of darislum......kesho I just want to do some samples from Alego nyangau za fifth world tanganyika will be typing and deleting.Uko na akili kweli wewe? Hiyo nyumba umepost is not even a 20th of this magnificent.
Your best kitenge house in Tz
View attachment 2919309
The Kenyan house I posted.
View attachment 2919310
umeipost mara elfu tatu....that's for the jua kali shot though son.lol