The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Mbona unalazimisha kitu ambacho kila mtu anaona sio kweli, alafu msenge mwenzio ana like, humuwezi NDINDA kwa chochote, unaongelea uchafu wakati picha yako umeiweka hapa upo eneo chafu kama choo na wewe mwenyewe pozi la kishamba na bado unaongea.NDINDA ni mchafu kweli kweli.
Router ya white inageuka black, yani hii yote ni vumbi. Bro kwani unaishi kwa vumbi?πππ
View attachment 2915659
Wapi Formula 1 race truck?Ndoto za mlevi akunywa sungura hapingwi mchana kwenye jua kaliπππππ
Dodoma isn't for beginners.
Iko kwa mfuko wa mpumbavu kalenjinππWapi Formula 1 race truck?
Yaani mtu saa moja ndio anaenda kukaba ale unamfungia? πππππKuna kipindi vibera walifungiwa ndani ati curfew, ikifika saa moja usiku hawatakiwi kuonekana nje. πππ
Wengine ilikuwa ndo mida ya kwenda "Sabina Joy" πππYaani mtu saa moja ndio anaenda kukaba ale unamfungia? πππππ
Halafu hiyo 100k ndio wamedouble capacity ππ wanajiita regional logistics powerhouse, hapo ndio ujue namna statistics zao zilivyo fake kama currency purchasing power yao πWatakuambia story za "land compensation" πππ
ThanksMkuu Kosugi kama sitakukwaza naomba kukuelekeza kuweka picha vizuri ili zionekane sawa.
View attachment 2918817
Hapo kuna namna mbili, hiyo ya kwanza juu unadrop image tu hasa ukiwa una picha moja tu, bonyeza ya juu hapo.
Hiyo ya chini ya attach files ni kwa ajili ya more pictures kwa wakati mmoja sasa ndio naona unaitumia sana kama nipo sahihi.
Sasa kutumia hiyo fanya kuselect image, inakuja hivi.
View attachment 2918822
Kabla ya kupost reply bonyeza hapo, mshale ulipo Insert.
View attachment 2918823
Then chagua full Image. Deal done
View attachment 2918824
Ndio unapost.
Ukiwa na picha nyingi subiri picha zote ziload zikamilike alafu hiyo insert itakua Insert multiple unaclick inaselect zote then chagua Full Image.
Hizo picha zako zinakuja kama thumbnail.
Natumai sijakukwaza. Ni kusaidia tu ili picha zako ziwe instant visible π
Kenyan architecture. Sio vitenge.Ushago tings.....the environment slurps differently
View attachment 2919272View attachment 2919273View attachment 2919274View attachment 2919275View attachment 2919276View attachment 2919277
I can bring a house more than that my friend.
Show me any residential low rise building better than that in Tanzania.I can bring a house more than that my friend.
The one I posted was just amongst.