Chawa wa mama tena??😂😂😂😂
Mtu kala sawa na 'urefu wa kamba yake'. Acheni wivu, ruksa ilishatolewa
Awamu hii, hata wew ukitaka kupiga, piga. Lkn usiwasahau kuwagawia waliokuzunguka ofisin ili wasione wivu wew kula peke yako
Chawa wa mama tena??😂😂😂😂
Kwani na wenyewe ni wafanyakazi wa serekali na Wana budget Yao kabisa au?
Na imefanyiwa renovation juzi Tu SASA hvi inavuja hvi wakenya Nani aliwaroga yarabi😅😅
Tayari huko kumeamza kuvuja
View: https://twitter.com/LarryMadowo/status/1762542065559199948?t=Fo9vn9Spo1pnEqiNdQCcTA&s=19
😅😅😅😅😅
Tayari huko kumeamza kuvuja
View: https://twitter.com/LarryMadowo/status/1762542065559199948?t=Fo9vn9Spo1pnEqiNdQCcTA&s=19
Utasikia nyang'au kama akina Teargas wanakuambia hiyo ni 'ultra modern international airport', ha ha ha😁
Tayari huko kumeamza kuvuja
View: https://twitter.com/LarryMadowo/status/1762542065559199948?t=Fo9vn9Spo1pnEqiNdQCcTA&s=19
Dar will offer better terms with competitive pricesLabda wanataka wawabadilishe mawazo waendelee kutumia Mombasa
Ah qumamaqee bora CCM afie madarakani.Hawa ndo wapewe nchi kuiongoza kazi ipo bora CCM itawale milele
View: https://twitter.com/Mwabuk2Boniface/status/1762363834897990052?t=UBQ6GrHVPwtyCOcVl1oWVw&s=19
Naona unataka kulianzisha tena.Pachesing' pawa
Inavuja paa ana canopy? 🤣🤣🤣Na imefanyiwa renovation juzi Tu SASA hvi inavuja hvi wakenya Nani aliwaroga yarabi😅😅
Nafkiri ni extended canopy ndio inavuja🤣🤣Inavuja paa ana canopy? 🤣🤣🤣
Hivi kulikuwa na sababu gani hasa ya kuwatoa wamasai Ngorongoro?Hawa ndo wapewe nchi kuiongoza kazi ipo bora CCM itawale milele
View: https://twitter.com/Mwabuk2Boniface/status/1762363834897990052?t=UBQ6GrHVPwtyCOcVl1oWVw&s=19