KweliKwanza
JF-Expert Member
- Aug 20, 2016
- 3,520
- 2,820
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sisi sio kama nyie mlio dandia kucopy hadi tower za watu wakati mnapesa kiduchu mkaona mjenge little sijui muitwe new york ndogo
Tatizo walikuwa hawana pesa ya kutosha wakamuomba engineer aongeze mnara ili waidanganye africa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila aka kajengo ni kafupi asee
Mnara ndo unakabeba
Na moja ya hizo imani potovu ni kwamba mchuzi wa albino ni dawa! Jiangalieni nyieSio kuliwa ni kwa imani za kipuuzi tu,hata hivyo hayo mambo ni zilipendwa now.
Ukiliona unaweza jua halijaisha kumbe ndio tayari alafu mimi nahisi ni toy tu hilo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila aka kajengo ni kafupi asee
Mnara ndo unakabeba
Ya kuondoa uhuru madarakani.Na moja ya hizo imani potovu ni kwamba mchuzi wa albino ni dawa! Jiangalieni nyie
is it painfulKeep telling yourself that.
if only you knew the function of that antenna, haungeongea hivyoTatizo walikuwa hawana pesa ya kutosha wakamuomba engineer aongeze mnara ili waidanganye africa
Ukienda kibera unaweza kuta mtu anashindia supu ya ma wigi ambazo wanaokota kwenye slumNa moja ya hizo imani potovu ni kwamba mchuzi wa albino ni dawa! Jiangalieni nyie
use kiswahiili plz ur not restricted[emoji28] [emoji28] [emoji28] you wish huh.
In nairobijust remove the anual rain,the city will ghafla become like moram cave.
Tatizo ni u replicaif only you knew the function of that antenna, haungeongea hivyo
if only you knew the function of that antenna, haungeongea hivyo
Nilijua tu utawashwa,maana mnajitambulisha eti kiingereza ni lugha yenu ya taifa.[emoji13] [emoji13] [emoji13] wajaluo chang'aa inawafubaza.use kiswahiili plz ur not restricted
[emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa jengo ni short kama MWALA,ndio mfidie na limnara reeeefu.ikiwa jengo ni refu hamna haja ya mlingoti wote huo.if only you knew the function of that antenna, haungeongea hivyo
Tusipowatania na kuwatunishia msuri hamna wa kutuchangamsha akili ukanda huuWatu mnabishana aseee! Ila mkikutana nje ya Africa ni ndugu! Good continue with your altercations.
Proudly to be Tanzania. Karibu Nyamongo!.
Yeah
Nitafrahi siku mtu akichukua arial view ya CDB yote
Cost yake ni 1.1b usd na itakua the largest cement factory in east and central africa, and its min capacity will be 7 million tons per year upto 10 million tonswe are on the move of turning
one project after another into reality....nobody can stop us....hapa kazi tu.
Yap yap....habari ndio hiyo comrade.Cost yake ni 1.1b usd na itakua the largest cement factory in east and central africa, and its min capacity will be 7 million tons per year upto 10 million tons