Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Like I was saying earlier, kuna siasa mingi kwenye hii mambo.

This is The UNESCO explanation why Mount Vernon is not listed (Their official page). Link here

Someone else could have asked, "Why isn't Mount Vernon listed in the UNESCO World Heritage Sites list?" The same way you are asking about Saint Basil's Cathedral.

 

Ngoja nikurudishie akili we punguani kiingereza kiingi lakini umeshindwa kutetea/kusema uzuri wa hizo miji za west ni nini badala yake umekomaa kusema eti kwasababu zimetajwa na UNESCO kwamba they are world heritage sites, πŸ˜‚πŸ˜‚ mpuuzi sana wewe, hizo zitabaki kuwa ni maeneo za kale tu na zinatunziwa hadhi hiyo but they ain't beautiful, na hao wazungu pia hawamaanishi kwamba hayo maeneo ni mazuri zaidi duniani, inawezekana haujawahi kuona majengo mazuri, I'm here to show you
 
Huwezi ona Mkundustan aki-comment hapa! Ikumbukwe hii kitu imefanywa katika shortest time possible among African countries! Take the example of Renaissance Dam pale Ethiopia!
Hivi unafikiri ni kwa nini hawakujenga arch dam, maana naona kama lina pembe.
 
Masai Mara haina EMP!
 
So why do people go to Paris, Rome, Berlin, London if these cities are not beautiful? Why do people go to Serengeti or Stone Town Zanzibar if they are not beautiful?
Heb ngoja nikuweke sawa kidogo, watu wanaenda hizo miji zenye ume mention hapo juu kwasababu of their histories (world heritage sites) there are so many things to learn in those cities juu ndio zilikua ni miji vinara hapo zamani, kwa kesi ya Serengeti national park na sites zinazofanana na Serengeti, watu wanazitembelea so as explore the beauty of nature, kwa siku za hiv karibuni wazungu wenyewe Wana consider blue buildings/skyscrapers kuwa ni futuristic architectural designs, ndio maana unaeza kuona leo miji kama Dubai (ni mji wa juzi tu) unapokea watalii 17.5 million annually (2023 report) watu wanaenda kushangaa the beauty of them blue magorofa tu huko. Unaeza hata ukaona dunia nzima inashindana kutengeneza magorofa marefu ya vioo. Hata UK na wenyewe wanatengeneza, tena blue buildings zimepewa hadhi ya kujengwa kwenye CBDs, ukiona popote pale kuna concentration ya Blue buildings ujue hiyo ni CBD, hii ni UK for example πŸ‘‡hilo hapo juu ndio eneo lenye hadhi zaidi huko London
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…