President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,655
- 94,301
Nilikuwa nakuona kuwa upo na exposure kumbe na wewe ndio wale wale tu. Yaani miaka hii unaongelea smart tv hapa TZ. Kijana kama huko kenya smart tv ni kitu cha kustua, hapa tz ni kitu cha kawaida sana.Yani hata itel TV ya 24k lazima aibe picha aedit.🤣🤣
Imagine TV ya Ksh 7,000 ndio mtu anaedit na snapshots hadi apate guts za kupost hapa🤣🤣😂😂.Kitu ya Thao Saba.🤣
Unasema anaangalianga movie hapa.🤣🤣🤣Wewe huna Netflix nyamaza. Nyinyi ndio wale wa kuenda kwa kibanda kuwatch movies huko.
Kiswahili itampeleka wapi ama kumsaidia na nini?mfunze mwenzio kiswahili mnakuanga ndio nini inapaswa iwe mnakuwa ama mnakuwaga
Wewe mshaba, huna pesa na huna kazi 24/7 upo hapa JF.Imagine TV ya Ksh 7,000 ndio mtu anaedit na snapshots hadi apate guts za kupost hapa🤣🤣😂😂.
🤣🤣🤣 Sawa.Wewe huna Netflix nyamaza. Nyinyi ndio wale wa kuenda kwa kibanda kuwatch movies huko.
Yeah. Na ujue pesa za kuenda kuwatch movies hapo anaomba kwa msichana. Asipopewa na msichana anaenda kumop kiosk ya kuwatch TV first ndio at least akubaliwe kuingia ndani😂😂😂
Nyinyi ndio mmeonyesha ushamba wa kiwango cha juu sana humu ndani leo 🤣🤣🤣Leo nimecheka Sana. Wacha niwaache.🤣🤣🤣🤣
Ukiondoka hapa ujue value yako nimeishusha. Amebaki mkenya mmoja tu ninaye muona kidogo yupo na exposure. Mengine ni mabumunda tu.Leo nimecheka Sana. Wacha niwaache.🤣🤣🤣🤣
Ushamba mwingine ndio huu hapa.Nimepiga picha remote kuwaonesha hiyo Netflix mnatupigia nayo kelele hapa ni kitu cha kawaida, mbona ume ignore maneno nimeandika!
Also najua ukiondoka tu accounts zote zinapotea. 😀 😀 😀Leo nimecheka Sana. Wacha niwaache.🤣🤣🤣🤣
Lugha ni ngumu ndio maana hamuelewi.Ushamba mwingine ndio huu hapa.
All smart Tv zinakuja na remotes like those, sio lazima ukuwe na Netflix ndio remote ya TV yako ikuwe hivo.
Yani kila mtu Tanzania ni mshamba😂😂
itampeleka wapi kumbe na wewe young boy hujui hata kuandika hapa hamna kitu kabisa.Kiswahili itampeleka wapi ama kumsaidia na nini?
Binafsi kwasasa heshima yangu nimebakiza kwa tonny na yule jamaa mwenye alikuja bongo juzi kati+ yule mmiliki wa truck moja US a.k.a Mwaisa Sadima Dickson, hawa pekeao ndio watu wamaana wenye wanajua vitu waliobaki ni mabumunda wote 😂😂😂 maskini sana+ ushambaUkiondoka hapa ujue value yako nimeishusha. Amebaki mkenya mmoja tu ninaye muona kidogo yupo na exposure. Mengine ni mabumunda tu.
Sasa wewe unakuja kutupigia kelele kuhusu Netflix. Wazazi wako walikuwa wanatumia TV hapo Kibera?Ushamba mwingine ndio huu hapa.
All smart Tv zinakuja na remotes like those, sio lazima ukuwe na Netflix ndio remote ya TV yako ikuwe hivo.
Yani kila mtu Tanzania ni mshamba😂😂
I know you don't have any of those.Lugha ni ngumu ndio maana hamuelewi.
Sishangai ukianza kuniuliza kama niko na Amazon Prime video.
ukimtoa MK254 hawa wengine hamna kitu yule jamaa anapinga hoja na kujenga hoja hama mihemko kama hawa vijana wa 2000Also najua ukiondoka tu accounts zote zinapotea. 😀 😀 😀