Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acha kuimba taarabu za Mombasa kunguni weweee!
Unataka tulinganishe aje kwa hizo sehemu mbili??
Kama paved roads kote zipo,mitaa imepangika,kuna sewage system n.k n.k.
Wewe unasemaje hapafikii hadhi???
Leta ulinganisho sio mipasho.
Mbezi kuna paved roads? Wacha kunichekesha.
Angalia hii video unionyeshe paved roads.

View: https://www.youtube.com/watch?v=S5urdoDJiGA
 
We shule umeenda kusomea ujinga??!!
Unajua maana ya uwiano???
Labda nikutolee mfano.
Nyumba ambazo NSSF wanazijenga zile wao hutumia kwa nyumba moja kama 30milions tsh,kesha wanaziuza 44milion ths mpk 45milions.
Unaweza kunambia faida ni asilimia ngapi ya hela ya ujenzi???
Faida ni asilimia 50 ya hela ya ujenzi.
Nyumba tulonunua sisi za yule mwarabu 50 milions yeye alijenga kwa milioni 30+ akatuuzia 50 milion.
Faida ni kama 60+ hela ya ujenzi.
Je Kenya huwa mnauza kwa mtindo huu???
Labda ulikua huelewi wapi naelekea.
KENYA NDIO GHARAMA MORE THAN TWICE ILA SIO TZ.
 
Now you're fliping the narrative? Am I the one who failed to understand a simple comparison of Ridgeways Estate to your Estates and thought I was talking about a particular house? Stop projecting. You need a class in comprehension.
Hv ulielewa nilicho ku quote?

Kosugi alijitahid kwel kuelezea hoja yake lakin kusoma ukaelewa ulishindwa unakimbilia ku comment tu. Eti English🤔😬
 
This is bullshit and unnecessary. 🚮 🚮
You compared buying in Kenya to building in Tanzania and that confirms you don't know what you are talking about. You should rather keep quite and learn than continue typing in capital letters. 🚮🚮
 
In 2023 Kenya exported goods worth Ksh 69B to Tanzania while Tanzania only exported goods worth Ksh 43B to Kenya.

Yani Hawa wachawi tumewashinda kwa kila kitu.
 
Kwa akili yako hiyo ni mbezi yote???
Yani uchukue video za sehem ambayo ni robo ya Mbezi uje utolee mfano???
Umedata wewe
It's still Mbezi and it's not tarmacked. Hata ukileta hizo sehemu zingine ni vivyo hivyo tu. Ridgeways huwezi pata barabara ziko untarmarced. Mbezi labda ilinganishwe na Rongai, Ridgeways haina level yake hapo Bongo.
 
In 2023 Kenya exported goods worth Ksh 69B to Tanzania while Tanzania only exported goods worth Ksh 43B to Kenya.

Yani Hawa wachawi tumewashinda kwa kila kitu.
Bado wako humu wanatuambia vile tunawategemea. 😂 😂
 
@Teargas you are right. All Tanzanians are stupid
Watanzania wote ni wajinga.

Alafu kwa huo ujinga Kuna aina mbili tena, watanzania wajinga wenye pia ni vichaa na wale wajinga wenye wanatumia 1% of their brain.
 
Hv ulielewa nilicho ku quote?

Kosugi alijitahid kwel kuelezea hoja yake lakin kusoma ukaelewa ulishindwa unakimbilia ku comment tu. Eti English🤔😬

Wacha nirudie nilichosema na ulichoelewa ndio uone ujinga wako.
Post yangu hii hapa, nikasema Ridgeways is a premium neighborhood and is better than anything in Dar. Kwa Kiswahili - Ridgeways ni mtaa wenye hadhi na ni bora kuliko wowote hapo Dar.

Hivi ndivyo ulivyoelewa. "Hizo nyumba ni bora kuliko zozote Dar"
Nmekuelewa vzuri, wew umesema hzo nyumba ni "better than anything you can find in dar" Je ni kweli?

Miti sawa, Dar hakuna miti kama hyo.

Ndio nikakueleza una shida ya kuelewa Kiingereza maanake mimi nimeongelea mtaa, wewe unafananisha nyumba. Ungekua na akili ungekubali makosa yako mambo yaishe ila umeendelea kupingana na kujionea huruma kama yatima.
Shida yenu kawaida huwa kiingereza. Nimeongelea mtaa wa Ridgeways kwa ujumla, Sio hizo nyumba. Khaa! Alafu unapata bado mnaharibu kusahihisha grammar ya mtu humu. You all need English classes for real.🚮🚮
I hope kwa sasa utauona ujinga wako. 🚮 🚮
 
Oysterbay hii moja?
Hii hata Mombasa itastruggle kuwa best -Nyali na Kizingo zitaitoa kijasho mbaya sana. Ukiipeleka Kisumu Milimani inaitoa kijasho. Ukiileta Nairobi top ten haigusi.
Alafu kamtaa kenyewe kadogo huwezi linganisha na rich neighborhoods in Kenya
🤣 🤣 🤣
Kusema kweli only Oysterbay and Masaki would be considered wealthy neighborhoods in Nairobi but still won't make it to top ten. Halafu ukiziweka pamoja na Masaki hata hazifiki 15% ya Karen pekee.
Meanwhile kuna mitaa Nairobi yenye niko sure hata jina lake hujawai sikia yet hiyo O-bay bado haifikii. Mitaa kama
Ridgeways
Spring Valley
Muthangari
Kyuna
Lower Kabete
Nyari
Barton Estate n.k

Yani kwa mitaa ya kitajiri Nairobi iache bwana. Kuna nchi chache sana Afrika kusini mwa jangwa la Sahara zina miji yenye rich neighborhoods bora kuliko Nairobi. South Africa, Namibia na Mauritius - alafu Nigeria na Angola kidogo tunaweza pimana. Hizi zingine zote wachaneni na Nairobi kabisa. Tubishanie vitu zingine ila sio high-end neighborhoods.
 
Wewe mpumbavu NairobiWalker pesa yenu haina purchasing power au vitu zenu zinakua over priced while hizo vitu they're of the low quality and less impressive, let's go direct to the point, hizi nyumba za fumba uptown living for instance, zipo kando kando ya bahari, they also of 4BR, the roads in the neighborhood are in better condition than that of the muthaiga u mentioned, and mind you Zanzibar is the top beach destinations in Africa .but the price of the house is around $450k. Check hapa nyumba zenyewe 👇look at houses broh.!! 😂😂

Let alone hizo sijui masaki na Oster bay mana huko utakimbi tu mzee baba..

I want to know from you, hii inakwambia nini.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…