Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
We chizi hiyo data yako inaonyesha production ya wheat? 🤣🤣🤣 Mbona unazimisha mambo we mpumbavu.?Kenya is a top 10 wheat producer in Africa. Nimewaambia mukipata any data that shows Tangagiza produces more wheat than Kenya nitafunga hii account sahii.
Show me any data that shows you produce more wheat than us. Ukipata hata moja nitafunga hii account. 😂 😂 😂 Kenya is a top 10 wheat producer in Africa, bongoslum is not.Sasa huu ndio ushahid wako kwamba nyie mnazalisha ngano.? 🤣🤣🤣🤣 Mpumbavu sana wewe, kichwa cha hiyo graph yako kinazungumza "Africa's wheat import dependency from Russia or Ukraine" kwahyo hiyo graph inaeleza kwamba nyie mnatuzidi kwa kufanya import not otherwise wise, hiyo maneno ya kusema mnatuzidi uzailishaji umetoa wapi.? 🤣🤣🤣 We unadhani sisi tunategemea kupata ngano kutoka ulaya tu.? Sisi tunalima ngano kichaa wewe. Kuhusu habari za kilimo labda mnatuzidi kwenye maua tu (kwa hisani ya Mzungu) 🤣🤣
We chizi hiyo data yako inaonyesha production ya wheat? 🤣🤣🤣 Mbona unazimisha mambo we mpumbavu.?
Kwenye angle ya kujipendekeza Wakunya hawajawahi cheza mbali 😁😁👇👇👇History made 👇👇
View: https://twitter.com/zoomafrika1/status/1759155551554969924?t=nZ3-w1IrB663--DchgXRIQ&s=19View attachment 2907834View attachment 2907835
Remarks from Madam President 👇👇View attachment 2907836
Kenya sio Tanzania. Huko Kuna stima sio kama uko uchawiland that electricity is for the few na hata hao few people are not sure of it's availability.Jirani vp Stima imesharudi ama tuwasubirie baadae humu?
waache wajitoe ufahamu wakati moshi huo mtura upo sijui ni toka enzi za mababuMtura mbona moshi tuna kula siku nyingi tuView attachment 2907603
A 3 bedroom bungalow in Kenya is sold by 10 mils Ksh sawa na 170milions Tsh sawa na 70k $.
Tanzania 3 bedroom bungalow inauzwa kwa 50milions Tsh sawa na 23K $ sawa na 3 milion Ksh kama sijakosea.
Yani kwa pesa ya kununua bungalow ya vyumba vitatu Kenya najenga nyumba sawa na hizo bungalow kama tatu hapa Tanzania kwa ubora ule ule.
Hapo unazungumziaje???.
Wapi purchasing power yake ina nguvu katika manunuzi na inanunua zaidi??
Kama nchi ina watu wengi PPP yao inakua kubwa, ndio maana china inaizidi US in terms of PPP, ila sio index nzuri. Mi nadhani index nzuri ni quality of life kama nchi za brunei, qatarKwahiyo mambo ya uchumi PPP tuendelee tusiendelee?
Unajua maana ya PPP?Kama nchi ina watu wengi PPP yao inakua kubwa, ndio maana china inaizidi US in terms of PPP, ila sio index nzuri. Mi nadhani index nzuri ni quality of life kama nchi za brunei, qatar
Mzee vipi mbona hasira sana. Nasikia huko Nairaland wanakuita KiberaWalker ni kweli?Saying a 3BR house in Kenya is sold for 10M is a very stupid and simplistic logic. It's like saying a car is sold for KES 2M when there's a car that costs KES 1M and there's a car that costs KES 600M. There are 3BR houses going for over KES 100M and there are 3BR houses going for under KES 3M. Stop reasoning like a fool.