Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

just leave the shithole ldc country....lol🤣the real failed state
Sisi tuna matatizo common ambayo tukiyatilia mkazo yanakwisha haraka sana.
Ila ninyi mna matatizo endelevu ya madeni makubwa,NJAA,KUISHIWA MADAWA HOSPITALINI,KUISHIWA NA AKIBA YA FEDHA YA KIGENI,GHARAMA KUBWA ZA MAISHA NA BEI YA MAFUTA KUPAA.
Sisi na ninyi nani failed state?
 
Inawauma sana that foreigners are choosing to invest heavily in Kenya instead of Uswazi?
Wala haituumi kwasababu tunamiliki uchumi wetu wenyewe.
Nchi inajengwa na kodi zetu wenyewe.
Hiyo inaonesha ukomavu wa taifa kiuchumi na kifedha.
Ninyi endeleeni kuuza nchi yenu kwa wazungu na hizo kodi sijui mnalipa za nini kama nchi hamjengi kwa serikali yenu??
Serikali ikijenga ni sawa nimejenga mimi au The best007 kwasababu pesa za serikali zinatokana na kodi za raia kama sisi.
 
Tuanze na shirika la reli.
Tuje kilimo.
Tuje sekta ya afya.
Tuje gharama za maisha.
Unataka nikuongezee???
Which reli are you talking about?

Your former president died in Kenya so usiniambie anything about Afya.

Kilimo we are ahead of Tanzania.

Garama ya maisha gani unaongelea yet everybody is poor in Tanzania?
 
Thanks for the last video. Even I didn’t realize how there’s so much going on in terms of construction 😂
 
Some opposition leaders also have a comment about the constructions

View: https://www.instagram.com/reel/C2j4uLjIRLP/?igsh=MW1iMmk1a3lvdjM3Mg==
 
Nyinyi mnakula mihogo imechemswa kama mahindi. Kenya mihogo imekuwa fried. There's a big difference there. Again in Tanzania mnakula mihogo asubuhi, lunch na dinner
No wonder kila mtu Ako na kwashiorkor Tanzania. In Kenya mihogo is for fun.
Muhogo wa kuchemsa una afya kuliko wa kukaanga.
Pia muhindi wa kuchemsha una afya pia.
Au haujui kama ATP(Adenine thiophosphate) ukiichanganya na calories nyingi huwa inapungua ufanisi mwilini???
Vyakula vya kuchemsha vina afya.
Yes hata kama tukila kutwa mara tatu ila tunaula muhogo kwa njia tofauti.UMEWAHI KULA MUHOGO WA NAZI ULIOUNGWA NA SAMAKI???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…