Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unajua majengo mengi yanayojengwa Kenya na wachina yanamilikiwa na makampuni ya serikali ya china?
Inakuuma? That wao wanakuja kujenga huku na hawataki hizo Uswazi zenu? And also, Chinese are just investors like any other. We have local investors, Somali investors etc. Most of the building is being carried out by Kenyan private investors, with some of them giving Chinese the contracts to build.

This is a project that just broke ground late last year. Construction has barely reached the first floor slab yet it is nearly 100% sold. There are thousands like these coming up everyday. Pitia hapa kwa mfano, this was just approved last week Nyinyi endeleeni tu kungoja CCM iwajengee manyumba.





 
So your small brain tells you that agriculture is rice only
Tanzania haiimport hizi bidhaa anymore that's why you've seen sugar predicament in recent months due to the hindrance of unusual import procedures derived from some weather and mechanical bottlenecks from the local manufacturers, Kunyaland ni different story sababu there's nothing they'll skip to importing so hiyo big agricultural output mliyotupita nayo inatoka wapi? πŸ€”


View: https://twitter.com/ricetex/status/1712902004434260036?t=6j9V9Vac4e6r0rixz5M3TQ&s=19
 
My brother there said Kenya has more agricultural output and revenue than you. Wewe unaleta hapa story ya mchele, so you think agriculture is only food products?
 
Ona Ruto kila siku yupo ulaya anatumia tu pesa zenu majinga nyie
Didn't I see your grandmother in Vatican and Norway just the other day? Unasema serikali yetu inafuja pesa (which I agree 100% with you), but have you first seen the log in your own eye? Mko na madini kama yote na bado nchi ni maskini tu. Kenya's most valuable mineral is Soda Ash ambayo ni chumvi. Unajua thamani ya chumvi kweli? At least we can say we have a good reason of borrowing. Nyinyi na hizo rasimilmali zenu zote mnaendelea vipi?
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

Asante kwa matumaini na maumivi
 
Asante kwa render nzuri 🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Tanzania maskini kwa kigezo kipi, tunawazidi kwa thamani ya miradi inayofanywa kwa sasa, tuna modern infrastructures kuwazidi, tuna chakula cha kutosha kuwazidi, kitu pekee unachoringia ni historia na ambapo muwashukuru wazungu, wasomali na wachina, kukosa hivyo mngekuwa hovyo zaidi ya hapo.
 
Ni World Bank wamesema kwa official page yao that Tanzania is poorer than Kenya, enda uwapigie wao kelele. Miradi ipi hii that upto now you still have nothing to show? Vitu mnajenga na miaka kumi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…