Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Anaweka screenshot tarehe na mwez anaficha unategemea atakujibu hilo swaliπŸ˜…

Noway kutoka laki5 hadi Mil7πŸ˜„
And you believed that I was being paid 39,000?πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
cc Venus Star,shugulikianeni
 
Continue dreaming about knowing meπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
🀣 🀣 🀣 🀣 Baada ya kujua details zako huwa nacheka sana.
1. Hujui kuendesha gari
2. The last time I checked your salary was less than Ksh 39,000
3. You are not beautiful
🀣🀣🀣🀣
 
🀣 🀣 🀣 🀣 Baada ya kujua details zako huwa nacheka sana.
1. Hujui kuendesha gari
2. The last time I checked your salary was less than Ksh 39,000
3. You are not beautiful
🀣🀣🀣🀣
Sawa jobless. Umeshinda. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ebu niambie hizo details zangu ni gani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sawa jobless. Umeshinda. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Ebu niambie hizo details zangu ni gani?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣 🀣 🀣 🀣 Acha kudanganya watu humu. If not changed your salary until today is less than Ksh 39,000.
And if changed just for few months will not go beyond Ksh45,000 🀣🀣🀣
 
Ntambishiaje mtu anamjua hadi boss wakoπŸ˜…

By theway haukumpingaπŸ˜„
Kwani nikimpinga ndio nini? Sometimes you have to leave someone to enjoy himself. How many times mmekuwa mkiamini ati Mimi ni nurse and I just kept quiet?πŸ˜‚

First, hajui boss wangu. Ni Mimi ndio nilipost that Shakira Muhammed hapa.

Secondly, Shakira is not even my boss. Huyo kazi yake ilikuwa disbursing of money nothing else.

Thirdly, he is using guesswork. Hajui anything huyo.
 
🀣 🀣 🀣 🀣 Acha kudanganya watu humu. If not changed your salary until today is less than Ksh 39,000.
And if changed just for few months will not go beyond Ksh45,000 🀣🀣🀣
Ukimaliza kupiga kelele niambie ninunulie familia Yako lunchπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Mara 39,000
Mara less than 39,000
Mara 45,000.


Which is which?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Kwisha habari yako. Shakira was doing what?
 
Ukimaliza kupiga kelele niambie ninunulie familia Yako lunchπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Mara 39,000
Mara less than 39,000
Mara 45,000.


Which is which?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Last time I checked was Ksh39,000. Je imebadilika? 🀣 🀣 🀣
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 Kwisha habari yako. Shakira was doing what?
Shakira was accountant. Ama unadhani I used to work in companies zenye hazina structure kama hizo zenu za Tanzania?πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…