Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Daahh kazi tunayo kweli kweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Hivi amepost statement au bado anaziba ziba na emojis kibao! 😂😂😂
Kuna ugumu gani yeye kupost statement kwa mfumo kama ule nilio post mimi!
Aliona credit and debit kwenye account yangu akasema niko na loan.
Hajui maana ya credited and debited kwenye bank account halafu anajisifia anajua kingereza.
 
Unaita The best 007 dunderhead wakati wewe ndo dunderhead!
Angalau sasa unafahamu maana ya credited and debited kwenye account, Pongezi kwa Babayao255 na Google.
 
Installed capacity in 2022 was 3,321.3MW.
View attachment 2899399
Tz ni wanagenerate 1889MW ,Available 1200MW ,demand 1430MW...tunauhaba wa 230MW kwa sasa...ila tumeelekezwa kua Nyerere Hyro electric Dam itatuongezea 2115MW ...So kama kila kitu kitaenda sawa mwaka huu tunapindua meza...labda mtatuzidi kwenye matumizi sio uzalishaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…