Mimi nimekaa moshi miaka 5 na nimekaa Tanga miaka 2. Tanga umepangika vizuri sana. Wajerumani waliupanga. Mitaa na barabara zake zipo vizuri. Moshi naijua sana haiwezi kuingia kwa Tanga hata kidogo (Nafahamu mitaa yote ya Moshi)No doubt,but Moshi is too impressive! !
Dope , Sasa imagine kwa mpangilio huo pangekua n nyumba nyingi za kisasa nadhani are mji mingine mikubwa ingesubiri kwa TangaCheck video hii kuhusu Tanga
Huwezi ukapambanisha Tanga na Moshi ndugu yangu. Labda hapa tunaongea tu. Tanga iko vizuri. Labda tufurahishane tu.Sijui unadefine vipo mpangilio...I can tell you Tanga kumepangika lakini hutothubutu kuonyesha closely photo maana kumejaa vinyumba cha kizamani ambavyo havijaendelezwa...Nimewah kufika Tanga mara kadhaa,maeneo ya usagara,raskazone pongwe na Maeneo kadhaa sijashika majina! Ni ajabu Moshi pamoja na udogo wake pako well maintained na hili ni ukwel najua hutabisha
Mkuu kwa mpangilio wa mji Tanga hana mpinzani, then next atakuwa Dodoma na MoshiSijui unadefine vipo mpangilio...I can tell you Tanga kumepangika lakini hutothubutu kuonyesha closely photo maana kumejaa vinyumba cha kizamani ambavyo havijaendelezwa...Nimewah kufika Tanga mara kadhaa,maeneo ya usagara,raskazone pongwe na Maeneo kadhaa sijashika majina! Ni ajabu Moshi pamoja na udogo wake pako well maintained na hili ni ukwel najua hutabisha
Bila kusahau kuwa Yale mafuta ya alizet (sunflower oil) wanayokula matajiri tu Hapo Kenya yanalimwa na kukamuliwa kwenye viwanda vya mafuta ya alizet singidaSingida Town
Weka picha tunakusubiri nasi tutaweka.
Weka picha tunakusubiri nasi tutaweka.
πππππ Asante kwa povuThe gor one is made in Kenya.. Singida fully imported
Siwezi kupinga facts wadau...Ni ukweli usiopongika Tanga kumepangwa,but nadhan mlinielewa tangu awali ya kwamba Moshi nako pia palipangwa!!Huwezi ukapambanisha Tanga na Moshi ndugu yangu. Labda hapa tunaongea tu. Tanga iko vizuri. Labda tufurahishane tu.
Ukiongelea vijumba nenda Moshi maeneo ya Majengo, Njoro, Pasua, Kiborooni utaniambia.
Maeneo ambayo yapo vizuri Moshi ni SOWETO, Shanttown na Mjini katikati. Sehemu nyingine siyo.
Naijua sana Moshi mimi huwezi ukaringanisha hata robo na Tanga.
Mkuu kwa mpangilio wa mji Tanga hana mpinzani, then next atakuwa Dodoma na Moshi
We kunywa hio haituhusu ila kutuambia una miliki 5 acres kwenye mashamba ya settlers kericho ni sawa na kuvuliwa nguo sokoni asbh saa nneππUnajua wewe ulipewa kazi na jamii forums kuengage wakenya sisi tunainvest seriously huko mashinani hapa tao nkudunga job nakuenjoy.
Chelsea vs Liverpool nlikunywa tusker cedar 7
ππππ Usiogope anzisha thread kericho na iringa alaf uoneNo need labda kericho vs arusha
Can you show us the town not the lakeKigoma Town
Huyu jamaa kaongea point kubwa sanaππNALIAMSHA DUDE: how kenyans are describing poverty on twitter.
many kenyans are economically and socially very poor.
the statement they give on jf make others think kenya is a paradise or heaven where streams of milk and honey flow directly to their mouth without any struggle.
it's our duty to refute that nonsense mentality with references.
now check how they describe poverty on twitter in relation to their economy/environment.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji116] [emoji116] [emoji116] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
NB:
more screenshots are coming.
Hebu nioneshe hio 13 floor???ππππKericho kuna 13 floor msee...alafu 1000 acres of tea has been surrendered for expansion of the town
Where is 13fl in kericho????Kericho is the next big thingwessyde lounge follow on Facebook wesayde lounge kericho
Employed by settlersπππππTea earns Kenya about USD 2b and kericho produces 70% ..guys employed in the tea industry about 100000 its not a joke