ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,310
- 89,717
All I can tell you, it's one of the best projects done by Uhuru Kenyatta.Watu wa
Vipi Expressway ina tija?tupe mfano kidogo kwa ile yenu
Bei ya sukari unaijua mtaani sasa hvi ??π€£π€£
Hizo ndio harakati za kuinormalize Sasa , unadhani itashuka bila kuongeza supply sokoni?Bei ya sukari unaijua mtaani sasa hvi ??π€£π€£
Yani sukari hvi sasa ina thamani kuliko dhahabu kama vile zamani chumvi ilivokua na thamani kuliko dhahabu ππππ
Au ukiwa chawa hutakiwi kuongelea sukari?
Eti enhhh na kazi ya bodi ni nn na wizara husika inafanya kazi gani??Hizo ndio harakati za kuinormalize Sasa , unadhani itashuka bila kuongeza supply sokoni?
Hvi ww unadhani sukari hakuna nchini??π€£π€£Hizo ndio harakati za kuinormalize Sasa , unadhani itashuka bila kuongeza supply sokoni?
Bodi imefanya nini? Tani 100k zimeagizwa kutoka Nje na zimeanza kuingia ila Kuna ukiritimba sana kwenye biashara ya sukari maana inahusisha Wanasiasa.Eti enhhh na kazi ya bodi ni nn na wizara husika inafanya kazi gani??
Au wako kwa ajili ya kusifia tu π€£π€£π€£π€£
Sukari wiki mbili sasa hakuna mtaani na ukienda dukani ukabahatisha kilo ni 5000 unataka nunua hutak acha