Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Haiti kuna gang violence mbaya sana.
Tafadhalini msiende nawasihi nawapenda sana majirani.
 
Hahaha… I see you want to know how I knew about your secret runway?… I have access to people in high places who can share with me certain information…. Maybe not the top classified type but generally I know a lot about your military than all of you in this forum… I get curious since we don’t necessarily like each other … am alert on your weak ass…😂😂😂
 
Hiyo haiondoi ukweli kwamba dandora ni slum, kama unaishi huko pole 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wakenya wengi hamjui chochote kuhusu Tanzania ndiyo maana wengi wenu huwa mnashangaa kwnn vitu ambavyo nyie mnashindwa sisi tunavifanya kiurahisi, mambo mengi hao wakenya wenzako wanashangaa na ndiyo maana hiyo mission ya DRC tumeishinda kirahisi ambayo nyinyi mmekaa mda mrefu na mmefukuzwa, elimu na maisha ya mtanzania yanamfanya awe mzalendo kwa nchi yake, mna vingi vya kujifunza kutoka kwetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…