Kama hujui tutakuonesha ili uje baraka medical iko wapi πππππNaona Baraka medical center. I don't know what that is.
But assuming it's Mathare, what's the difference between it and this one?View attachment 2894069
VSView attachment 2894072
π€·π€·π€·
Umeonesha upande mmoja kijana wa Tandika tena maeneo ya sokoni kuja Devis corner.Dawa yenu hukua YouTube. Temeke kwa ground. π πDar imejaa vijiji π π π
View: https://youtu.be/DHj_jzLsOT0?si=72QEmX1-51i7THKA&t=1019
πππππ.Mwanaume mwenye Ako na ndevu hajui kupost pictures π
Ninamletea nimuoneshe Tz huwa ni watu wa ku reform.Kama hujui tutakuonesha ili uje baraka medical iko wapi πππππ
View attachment 2894119View attachment 2894120
hizo za kijeshi uwawekee na makao makuu ya JWTZ na wao waweke ya kwao tuoneNilitaka niwawekee hii video. Naona wamekimbia wenyewe π€£π€£π€£ππ
View: https://youtu.be/4wIYZ3XDLeQ?si=HjQV19xsoNsr4RPH
LAMAMAYEEEEπ€π€π€π€Tatizo lako ukweli huutaki hakuna mahali utakwenda kokote duniani ukakuta dar kuna slum, hakuna na hutopata π€£π€£π€£π€£π€£
Wewe zungukaaa lakini ukweli utabaki palepale most of worse slums ziko africa na top ten of them nairobi imeingia mara 6 kama sio saba kwa idadi kubwa ya slums za kutisha duniani π π π π π
Haya makazi hata ukimweka mbwa anaishi tanzania lazma afe usifanye mchezo, wazungu wanatoka kwao wanafunga safari badala kuja kushangaa wanyama maporini wanakuja kushangaa binaadamu wanavoishi
View attachment 2894117
View: https://twitter.com/HivisasaKibera/status/725571515375312896?t=O35NuANS-BPP6WNzrwoYXw&s=19
View: https://twitter.com/Cloud9Wallet/status/1106450000186433536?t=RAREEl7n2pURNlfCpHlIfA&s=19
View: https://twitter.com/newsheadlines7/status/811969509540171780?t=Eqj89VjVTytGtjsaR_2k2Q&s=19
Kijana you sure wanatumia Panga?mtapigwa na mapanga tena tu kama last time lol......hii jeshi yenu ya ukiswahili haina lolote ni umbea tu kama nyinyi nyinyi humu..weak country
Swali gani? Mbona umewekewa hadi screenshot?HH
Hujajibu swali kijana wa Tandale
Hauna haja ya kumuelewesha huyo mslum dweller,washamba tu haoKusini nyumba hujengwa kwa mipangilio.
Viwanja siku hizi vinapimwa hununui kiholela.
Unapoona hapo kote kumejengwa basi kulibomolewa kulikua na nyumba chakavu.
π π π π π kijijiUmeonesha upande mmoja kijana wa Tandika tena maeneo ya sokoni kuja Devis corner.
Hiyo sio Tandika yote.
Pia ni two years ago.
Pole sana .
Umetaka aerial view nimekuletea
Some new developments in Temeke, Temeke hii ni maeneo ya alhikma secondary schoolUmeonesha upande mmoja kijana wa Tandika tena maeneo ya sokoni kuja Devis corner.
Hiyo sio Tandika yote.
Pia ni two years ago.
Pole sana .
Umetaka aerial view nimekuletea
Ulitaka kusema kama dar,ila basi tu.Safi kama ulaya
Jifunze kuattach pictures.πππππ.
Nimekusamehe tu hujui usemacho.
Sasa net Moja ndio unasema ni mingi?π€£π€£π€£Some new developments in Temeke, Temeke hii ni maeneo ya alhikma secondary school View attachment 2894141View attachment 2894143green nets ni mingi sana kwasasa within Temeke.
Khaaa.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
Ndicho nachomwambia huyu jamaa.Some new developments in Temeke, Temeke hii ni maeneo ya alhikma secondary school View attachment 2894141View attachment 2894143green nets ni mingi sana kwasasa within Temeke.
Unanifurahisha sana we kizee. π π π Bafu za uswaziππππKhaaa.π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£.
Hizo nyumba za hapo ni magodown na nyingine ni store hapo.
Mitaa hiyo ya azizi ally sheri hakuna makazi hapo.
Hili eneo umepost hapo ni 0.00003 ya eneo lote la Temeke my dearest sister or brother . Temeke ndio eneo ambalo hamjawahi kuliona humu ndani kabisa, there's no single photo showing Temeke in here. Leo nitakupa elimu ya Temeke, first of all Temeke ni municipality .. Mkapa stadia and all the soroundings kwenye hii picha are within Temeke π
Hicho kitengo kinachohusika kutoa majina kwenye hizi slums kinahitaji promotion πππ kipo so realistic in baptizing π€£Naikundu surrounded with slums,leo ndio najua kuna slum inaitwa madharau