Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Una uwezo mdogo we kufikiri, huna hadhi ya kureply quotes zangu.
 
Mkumbafu wewe.
 
Wanadai TPDF inatumia silaha nzito nzito halafu TPDF wenyewe wana wiki 2 huko east congo tu kilio kimeanza 😀
Vijana wa TPDF wakati wanaondoka walipita pale JNIA baadhi yao, nikawauliza vipi wazee hii itachukua muda gani? Washikaji wanakuambia "sisi wala hatuna shida tunamsikiliza kizimkazi tu"🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Heb kwanza tuanzie hapa unalinganishaje empty field na DODOMA mzee? 😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…