Sometimes akili za wakenya ni za ovyo, eti Hatuna? Nchi ambayo imepigana vita, ikahamia kwa missions na zote zikatiki, ikose ndege?KDF owns 3-27 J Spartans. Jeshi ya bongolala owns no aircraft that can move any heavy cargo or many personnel at a war zone.
Diamond mwenyewe is also borrowing helicopters from Kenya to use Tanzania πππ€£Umeishiwa Military weapons? Halafu hiyo wala siyo serikali ni Chama cha siasa kama vile Diamond mlivyomkaribisha kwenye campaign. π€£ π€£ π€£
Leta Weapons hapa tuzichambue
Yaani leo kila unapogusa ni moto unaona tu.There's nothing new here. Mlishika village elders mkadhani mmeshika polisi wa Kenyaπππ€£π.
What can you say about this act where our police officers crossed into Tanzania and canned you thoroughly?
View: https://youtu.be/DjuZQcPwPSI?si=eHrCr8uzATZ072fu
Hata hujaangalia video. Hao polisi walivuka border wakashika watanzania in their homesπππ€£. Watch it again please.Thubutu. Just arrest Tanzanians in your country. Jaribu kuvuka border uje Tanzania urushe hata jiwe tu. Utatujua sisi ni nani? π€£ π€£ π€£
Hivi vyuma ndio vilimliza m23.KDF owns 3-27 J Spartans. Jeshi ya bongolala owns no aircraft that can move any heavy cargo or many personnel at a war zone.
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Yaani leo kila unapogusa ni moto unaona tu.
Four Kenyan police officers attacked, arrested in Tanzania released
They were attacked by a mob and left with serious injuries before being detainedwww.the-star.co.ke
Waaaaa kumbe huelewi kingereza. π±π± Wacha nikusaidie na translation.Asa kumbe we ni fala?
Huyo Khalifah Haftar si mtu wa street battle??
Kumbe hujui vita za waarabu??
Khalifah haftar kundi lake ni kama la Hamas tu we kijana.
Unategemea wapeleke vifaa vizito?
Umeskia hao IDF?
Hamna hata moja π π π Kama iko tuonyeshe, vita ikitokea sahii nikama mutatumia Air Tanzania. πππSometimes akili za wakenya ni za ovyo, eti Hatuna? Nchi ambayo imepigana vita, ikahamia kwa missions na zote zikatiki, ikose ndege?
Na kwa taarifa yenu tumeagiza nyingine, mafala wakubwa na mitumba yenu.
Muko nyuma kama matako, vita ikitokea sahii mutatumia nini? π π π Don't forget Kenya owns 3.Yaani kila sehemu mnapogusa mnakula kichapo.
View: https://x.com/jakepor21/status/1745370714746609694?s=46&t=4z9N13N0auLdtU4DeJ6fYw
Leta Weapons acha kutubabaisha hapa. Mbona unahamisha mada. Unataka tuanze discus Toyota Hilux hapa? π€£ π€£ π€£Waaaaa kumbe huelewi kingereza. π±π± Wacha nikusaidie na translation.
ππInasema kwamba tarehe 20 Julai, bunge la misri iliidhinisha kutumwa kwa majeshi yake nchini Libya kusaidia mshiriki wao Field Marshal Khalifa Haftar ambaye anahitaji usaidizi kujihami.
View attachment 2893487
Upo serious? Au unajifariji?Hamna hata moja π π π Kama iko tuonyeshe, vita ikitokea sahii nikama mutatumia Air Tanzania. πππ
Unaona ulivyo mbumbumbu??
Unageuza si ulisema hatuna, sawa tuoneshe hizo tatu na risiti za kuzinunua, hatutaki kukosewa adabu na mitumbaMuko nyuma kama matako, vita ikitokea sahii mutatumia nini? π π π Don'ty forget Kenya owns 3.
Hiyo ni biashara kijana.Where will Tanzania be without Kenya? Here are Tanzanian celebrities borrowing helicopters from Kenya cause kwao people can't afford to buy helicopters πππ€£.
Diamond with Kenyan helicopter.
View attachment 2893495
Hilo swali lipeleke vice versa ndio linafaa, nyie wapuuzi mnaitegemea Tz kila nyaja za maisha.Where will Tanzania be without Kenya? Here are Tanzanian celebrities borrowing helicopters from Kenya cause kwao people can't afford to buy helicopters πππ€£.
Diamond with Kenyan helicopter.
View attachment 2893495
Mzee unatuchekesha sana.Hamna hata moja π π π Kama iko tuonyeshe, vita ikitokea sahii nikama mutatumia Air Tanzania. πππ
Umeelewa nilichozungumza??Waaaaa kumbe huelewi kingereza. π±π± Wacha nikusaidie na translation.
ππInasema kwamba tarehe 20 Julai, bunge la misri iliidhinisha kutumwa kwa majeshi yake nchini Libya kusaidia mshiriki wao Field Marshal Khalifa Haftar ambaye anahitaji usaidizi kujihami.
View attachment 2893487
Hata hile ya serikali yenu kuomba helicopter from Kenya ilikuwa biashara?πππ€£π€£Hiyo ni biashara kijana.
Acha utoto.
Sa unataka kulia ju hamna any C27 J Spartan in service. π π π Una machungu hadi unadai risiti. Pole usilie. Vita ilkitokea sahii mutatumia air tanzania. πππUnageuza si ulisema hatuna, sawa tuoneshe hizo tatu na risiti za kuzinunua, hatutaki kukosewa adabu na mitumba