ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,516
- 89,956
Sio viongozi wa siasa? Acha kuhemka na kupanic kijingaUnaongea nini wewe wakati data zinapingana na we? Yaani una prove ninachokisema, hutumii logic kufikiri. Hawa ndiyo matajiri wakubwa duniani kwa sasa, unaweza kuona pattern?
1 Elon Musk (Physics)
2 Jeff Bezos (Physics, Engineering, Computer science)
3 Bernard Arnault (Engineering)
4 Bill Gates (Programming)
5 Warren Buffett (Economics)
6 Larry Page (Computer science)
7 Sergey Brin (computer science)
8 Larry Ellison (Physics, Mathematics, programming)
Serekali inaomba donation kwa raia maskini ?? Hii nchi ilirogwa na nani???🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Serekali inaweka pesa kuanzisha mradi alaf inaangalia kama itapata support itakua ni vzr kwao wakikosa inabidi wakaze mkanda ku fund mradi kama walivoanza na lot one dar to moro 1.2b usd ilikua ni 100% government wametoa pesaKumbe ni ya mkopo Mwanzo mwisho ?
View: https://www.instagram.com/p/C22tR-ULiIf/?igsh=cmFreWt6b3oxem1x
Tunajenga kwa pesa zetu 😂😂😂😂😂Serekali inaweka pesa kuanzisha mradi alaf inaangalia kama itapata support itakua bi vzr kwao wakikosa inabidi wakaze mkanda ku fund mradi kama walivoanza na lot one dar to moro 1.2b usd ilikua ni 100% government wametoa pesa
Wakat mwengine punguza wenge maana una wenge mpka kwenye medulla oblongata🤣🤣🤣
Huna akili wewe haya leta mkopo wa lot1 dar to moro sasa hvi nicheke 🤣🤣🤣🤣🤣 na leta pia mkopo wa lot 5 mwanza to isakaTunajenga kwa pesa zetu 😂😂😂😂😂
Unataka viongozi wa kisiasa walioleta mabadiliko makubwa nchini kwao ambao ni STEM?Sio viongozi wa siasa? Acha kuhemka na kupanic kijinga
Ninavyojua mimi Xi Jinping alisoma agriculture!Unataka viongozi wa kisiasa ambao ni STEM, walioleta mabadiliko makubwa nchini kwao?
Xí Jìnpíng (2012 - present) - Chemical engineering
Hu Jintao (2003 – 2013) - Hydraulic engineering
Jiang Zemin (1989 – 2002) - Electrical engineering
ndio wanaanza cage fishing...lolWhatever you are doing now Kenya did them long time ago. As you start on cage fishing this year, just know that Kenya has been doing it for the past 20yrs now.
Alisoma pia chemical engineering (1975 to 1979), Tsinghua University.Ninavyojua mimi Xi Jinping alisoma agriculture!
Alafu wanajipiga kifua😂😂. Most of these Tanzanians are poor both financially and mentally.ndio wanaanza cage fishing...lol
arent these houses in Ngara.....the audacity
Tell us the number of fish you export annually.Someone is celebrating something that Kenya started doing long time ago.
Cage fishing in Nyanza.
View attachment 2892257
nyumba imewekwa topping kama fruitcake...lol.