The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 98,999
Fala kweli wewe, sikiliza vzr iyo nyimbo kaongelea tabia za kikenya na maisha ya kenya kwa ujumla, kuna mahali anasema raia wa hiyo nchi ni waongo wabongo wakasome, pia amesema raia wa hiyo nchi wana njaa, je wabongo wana njaa?Nay anazungumzia Tanzania kwa undani, but In reality all Africa nations ziko Ivo, ni vile wakenya wamechoka na Ruto that's why lazma watafeel pia
Walitakiwa na wao waekewe plate no matakoni π π π π πView attachment 2890518
Karen ya nyoko mwana
π€£ π€£ π€£ π€£ Tunataka sasa utuletee GTC. Maana haya masuala ya afya hamtokaa muifikie Tanzania. Kwa sasa gari limewshwa.Wabongo munapenda kubaki nyuma sana wakati dunia inabadilika kwa kasi. New technologies zinatokea kila siku lakini kama kawaida munabaki nyuma ju akili zenu za kijamaa zinafanya muwe slow. Kitambo diagnosis ya SPECT CT ilikua inatumia machine mbili, moja ya SPECT na nyingine ya CT scan. Kwa sasa teknolojia imebadilika na kampuni kama General Electric inatengeneza machine ya hybrid SPECT/CT ambayo imeunganisha machine zote mbili kua kitu kimoja kama machine za PET/CT. Soma hapa abstract ya mtalaamu ujue advantages za SPECT/CT kwa dunia ya sasa.
View attachment 2890338
A review on the clinical uses of SPECT/CT - PubMed
In the era when positron emission tomography (PET) seems to constitute the most advanced application of nuclear medicine imaging, still the conventional procedure of single photon emission computed tomography (SPECT) is far from being obsolete, especially if combined with computed tomography...pubmed.ncbi.nlm.nih.gov
Pata tangazo kidogo ww miturayes Nairobi has Maasai heritage...so what?
Pata tangazo kidogo ww mitura
County Hospital mzee. Kama sisi hapa ni hospital za mkoa
Kipo na Cha Maziwa hapo hapo LongidoKunyaland bado wanajidanganya wapo more industrialized zaidi yetu!
Longido πΉπΏπΉπΏπΉπΏ
View: https://www.instagram.com/reel/CzBJKAYoNE4/?igsh=MWlzcjh3YTd0ZWgzZg==
Bado mlingoti hapo,kazi tunayo πππ88 in the background, 48 floors, topped out. Habitat in the foreground, 23 floors
View attachment 2890103
Ase we umetisha plate number na cows wapewe tyu maana sioni tofauti kenya ya ng'ombe na gariWalitakiwa na wao waekewe plate no matakoni π π π π π