Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hospitali moja tu πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ‘‡ πŸ‘‡ Hospitali ingine Kenya.

View attachment 2889990
Huna hoja umeishiwa πŸ˜‚πŸ˜‚ mwanzo Uliomba kuonyeshwa Tesla MRI machine ukapiga kelele kwamba hatuna,ukaonyeshwa..ukadai ooh si 3 Tesla ukaonyeshwa tena hiyo 3 Tesla sahiv umekuja kwenye idadi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Dodoma capital city lol....a screaming Isiolo.Tz govt is trying to pump money in it lakini wapi


View: https://youtu.be/568ekKd0-Nk?si=pg_4-CgW7IvvwO0j
Hahahaaaa unajitahidi kuichafua Dom lkn wapi, Dom ndiyo utakuwa the East African capital city mtake msitake, sisi watanzania ndiyo tunaakili kuliko kuliko viumbe vyote ukanda huu wa wapumbavu, kumbuka sisi watanzania ni wa South Afrika na sio wa East, that is why tunawasumbua sn nyinyi wa East, watu wa South tuna akili kuliko nyinyi wa East mliolaaniwa 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wewe nenda kaoneshe GTC Center umeishiwa. 🀣 🀣 🀣
Tunakugeukia tuoneshe Bus Stand moja tu ya Nairobi
Hakuna mwenye guts za kukujibu hiyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚hapo wataufyata mkia..
 
Kuna nchi nzima ya over 60 million people ina MRI machines 13 pekee. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡ Wakifika hii level hatutapumua.

 
Asante mkuu, laptop yangu haiwezi fungua unsecured links.Serikali yenu imejaa madwanzi, hawawezi lipia https. πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ Sasa nionyeshe MRI iko wapi hapo? naona CT Scan tu.
Eti laptop yake, sasa akikuonesha hiyo laptop yake utazimia, laptop ina mipira 🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…