Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

 
hii city nayo ndio hushangaza....hahaha.kweli Nairobi hata maskini huonekana civilized
That is pedestrian road you fool, katikati ya brt na normal road.
What's uncivilized to you there, kubeba ndoo kwa kichwa? Idiot
 
Shida yako kubwa ni ku post all negatives about Kenya, while you are going through worse problems. That's the problem with Tanzanians, denying problems while they have a lot. We are better off because you see a lot of move towards betterment of our country. You see political demonstrations every day, Lecturers strike, Nurses, Doctors etc. Because we are not satisfied even though when you look at all those civil servants, they are payed better than Tanzanians. Kenyans know their rights and they don't go quiet about it, so who's fooling who here...
 
Taja matatizo ya Tanzania na ya Kenya kisha tulinganishe ni nani wenye matatizo makubwa.
Wakenya mnamatatizo mengi mno.
 
jamaa anachowaambia ni ukweli muache sifa za kipuuzi wakati munakufa maskini hakuna mfano, ikiwa mumefkia hatua mpaka uchumi wenu wenyewe munaupika munategemea kutoka kwenye slums hzo hata nguruwe hawez kuishi
 
The first picture is nice yeah, but apparently that's the only development in the entire Dar, you send the pictures day in day out about that specific region only, how about the other 98%?are you afraid you will expose yourselves?
We all know what's just behind those fancy buildings at the second and 3rd pictures
 
Taja matatizo ya Tanzania na ya Kenya kisha tulinganishe ni nani wenye matatizo makubwa.
Wakenya mnamatatizo mengi mno.
Tanzania hamna matatizo.... Furahia sasa
Ujamaa imwlewaharibu akili wasee
 
Tanzania hamna matatizo.... Furahia sasa
Ujamaa imwlewaharibu akili wasee
Kwanini sasa unahaha kama hakuna matatizo?
Kenya kunanjaa, ukabila, rushwa kubwa, hakuna ardhi nk.
 
Dar kila sehemu kunajengwa. Ngoja nianzekukupa mataa kwa mtaa






Twende kazi uone dar inavyojengeka. hapo ni 24.3km
 
Mimi ninadhani ni jambo jema kama mpinzani wako atakuchallenge muda wote ili uzidi kujirekebisha, ninashangaa kwanini mnashindwa kutafuta matatizo ya Tanzania na kuyaleta ili tujitathimini badala yake mnakazania GDP na LCD pekee, ningefurahi zaidi kama na ninyi mungeibua matumizi mabaya ya serikali ya Tanzania, au rushwa kama hivi nilivyowaonyesha ili tujitathmini badala ya kuwa protective na kulalamika, Tanzania and Kenya are siblings, rivalry is unavoidable.
 
Dar kila sehemu kunajengwa. Ngoja nianzekukupa mataa kwa mtaa
View attachment 637536





Twende kazi uone dar inavyojengeka. hapo ni 24.3km
Wewe Nakuhurumia tu... Hakuna jingine toka huko kwenu uje ujionee maajabu.
Na naomba utume satellite image of that map you sent tuone vibanda hapo.
And wtf is the last picture dude... Social media? Snapchat? Are you kidding me!?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…