Katika maisha three needs are basically.Wabongo mnakuwa wajinga sana. Ule milo Kumi ndio nini? Yani hapo mnafikiria Kula tu and only affordability stops you from eating? It's unhealthy to overeat. 3 meals are more than enough and occassionally you have to do two.
Huyu Jamaa ni chizi Sana ,unadhani Nairobi mwanzo wake ni CBD,,pima kuanzia Ngong to Kiambu uone ni km ngapiKiambu county na kiambu town tofaut ni nn??🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Ikiwa kutoka CBD mpaka kiambu ni 16km sawa na kutoka dar CBD mpaka mwenge sasa wewe unashangaa nn 😅😅😅😅
View attachment 2889198
Nilishampa maelezo jamaa yako.Tunaongelea distance from CBD, Sio boundaries.
Ngoja nianze kazi na mimi.Sasa na wewe onesha ma slum yaliyozunguka nairobi, usitoe credit kwa mpuuzi wkt tuna siraha kibao za kuwapiga hawa mbwa.
Hizi ni level za JKIA pale Ukunyani!Fikeni hizi ndio muanze kujilinganisha na sisi nyie mbwa nyinyi,mna kazi ya kuonyesha vijighorofa na barabara vya kulipia tu,tuonyesheni project zenu zinazomgusa kila mkenya sio vimiradi vya show off visivyo na tija yoyote kwa raia wa hali ya chini
Imagine kunyan ndio wangekua wanamiliki bus terminal kama ya magufuli,nyegezi na ile ya dom,halafu brt ndio ingekua kwao,wallah humu na africa nzima kusingekalikaHizi ni level za JKIA pale Ukunyani!
Sawa sie tuna mashamba ya mihogo.Watakuambia Dar ni kubwa, Leo hii wanajataa 20km from CBD sii Dar.🤣🤣s
Tizama hospital ya Kiambu tena Kiambu ni county mie nakupa hospitali ya wilaya ya Kibaha maana nikikupa ya Mkoa wa pwani utazimia.Wacha nikusaidie aerial view
This 😂 😂 👇 👇 36KM from Dar is a slum CBD
View attachment 2889214
View: https://www.youtube.com/watch?v=DHWFORIgh84
Compare and contrast.Wacha nikusaidie aerial view
This 😂 😂 👇 👇 36KM from Dar is a slum CBD
View attachment 2889214
View: https://www.youtube.com/watch?v=DHWFORIgh84
Tuje kwa soko.Dar is a slum imezungukwa na vijiji na mashamba za mihogo, Kimara 16km from CBD ni kijiji na mashamba ya mihogo. Kibaha 35km from CBD ni kijiji imezungukwa na mashamba za mihogo. Major cities in the world have a continuous urban area joining cities or towns surrounding them forming a super city. Dar is a slum imezungukwa na mashamba za mihogo. 😂😂😂😂
Nionyeshe any town like this 40km from Dar is slum CBD nifunge account.
View: https://www.youtube.com/watch?v=T_1-upGTCLI
Weeeh!Weeeeh!Weeeeh!Imagine kunyan ndio wangekua wanamiliki bus terminal kama ya magufuli,nyegezn na ile ya dom,halafu brt ndio ingekua kwao,wallah humu na africa nzima kusingekalika
Kunyan washamba sanaWeeeh!Weeeeh!Weeeeh!
Kusingekalika viti vingekua vyamoto na vitanda vingekua na misumari.
Hilo daraja tu la Kigamboni mpaka wakawa wanapost wanadai lipo Kenya.
Famasiala nini bro.
Yaani hadi usafiri wao wa Zero emission bado hawamudu? 😂 Hata kulisha majani usafiri ni kazi? 😂😂😂😂😂Ipo iyo iyo moja mkuu uhuru alienda kuomba spain ili kuwapoza machungu wakenya juu ya EMU za Tanzania 🤣🤣🤣🤣
In short, Dar ni mji Mdogo Sana kama 20km from CBD ndio kumeanza kupata makazi.Nilishampa maelezo jamaa yako.
Maeneo alotaja hususan Vikindu hayakukua kimakazi miaka hii ndio yameanza kukaliwa na watu,wengi wao ni wakazi wa Dar hutanua makazi nje ya mji.
Tegemea hapo kukua sana maana Kigamboni ilikua hivyo hivyo ila sasahivi kuna mansions kila kona.
Unaposema hivyo hauko sahihi.In short, Dar ni mji Mdogo Sana kama 20km from CBD ndio kumeanza kupata makazi.
Na nusu ya Dar nĩ Indian oceanIn short, Dar ni mji Mdogo Sana kama 20km from CBD ndio kumeanza kupata makazi.
KM 6 kutoka CBD unakutana na gigantic slum. The most populated slum in our solar systemIn short, Dar ni mji Mdogo Sana kama 20km from CBD ndio kumeanza kupata makazi.