Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Unaahangaika na watu wanaita wali Michele! Hawajui tofauti kati ya ubwabwa na wali na mchele na mpunga! Mtu anakwambia napika mchele au nalima mchele!
 
Ah!! wapi. Hebu tuoneshe bus stendi moja kutoka kenya tucheke 🀣 🀣 🀣
Siku hizi mligive up na kulinganisha hizo takataka zenu na classic buses from Kenya, what happened?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hawa hawajui architecture ni nini juu hata hizo gorofa zao zimekuwa designed KenyaπŸ˜‚
Is this building beautiful.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡hii gorofa inakaa Giza pyramid. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Kenya kuna majengo marefu mazuri than Tanzania ? Heb twende ground we kima ..uone kama utatoboa hiyo battle.
 
Hiyo ni assembling wewe nyangau sio manufacturing.
Who said we manufacture? I have been singing here the phrase "Built in Kenya by Kenyans for Kenyans" all along. Ama umekuwa ukilala?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Is there any building in Tanzania yenye ishashinda tuzo la gorofa bora Africa? Kama Iko tuonyesheπŸ˜‚
 
Who said we manufacture? I have singing here the phrase "Built in Kenya by Kenyans for Kenyans" all along. Ama imekuwa ukilala?πŸ˜‚πŸ˜‚
View attachment 2884722
Kijana Tanzania ipo na zaidi ya 1,000 Bus Companies.
Usilazimishe tulingane Kenya upande wa Transport bado sana.
Trasport inaanzia kwenye Infrastructure ya Stand.

Magufuli Basi Stand



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…