Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,804
- 41,709
Leo sina muda wa empty talks. πππ. Wali kwa kenya ni anasa πA Kg of Basmati rice is only 280 shillings. What makes you think I can't afford that? The low quality and cheap ones from Tanzania are 100 bob per kg. Mwea rice is 200 bob per kg, Ahero rice is 220 shillings per kg.
Mashindano ya timu za taifa Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani.What is Chan? Is it a plant name?
Empty talks master ππππThey are imported at a age of 8yrs and below. Unlike in Tanzania where 99% of vehicles are 20 yrs old.
Rice is a food of prisoners.Aaa hii nu uongo bana, juz mliandamania ugaliπ
Unajiabisha kijana.A Kg of Basmati rice is only 280 shillings. What makes you think I can't afford that? The low quality and cheap ones from Tanzania are 100 bob per kg. Mwea rice is 200 bob per kg, Ahero rice is 220 shillings per kg.
I think Kenyans really need to send their leaders and would be leaders to Julius Nyerere Uongozi institute ili wapate maadili mazuri ya uongozi wa kizalendo waache kuwa machawa wa Westerners na kuacha corruption.Tanzania ni ya Moto sana - Kenya Zero kubwa
View attachment 2883630
1. Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, wakisaini Katiba ya Usimamizi na Uendeshaji wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS), eneo la Kwa Mfipa, Kibaha, mkoani Pwani, Tanzania.
Kuanzia katikati kwenda kulia ni Komredi Dk. Emmanuel John Nchimbi, Katibu Mkuu wa CCM (Tanzania), Prof. Marcelina Chijoriga, Mkuu wa Shule ya MJNLS, Komredi Francisco Mucanheia, mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Chama cha FRELIMO (Msumbiji) na Komredi Fikile Mbalula na Katibu Mkuu wa ANC (Afrika Kusini). Kuanzia kwa Dkt. Nchimbi kwenda kushoto ni Komredi Obert Moses Mpofu, Katibu Mkuu wa Chama cha ZANU- PF (Zimbabwe), Komredi Sophia Shaningwa Katibu Mkuu wa Chama cha SWAPO (Namibia) na Komredi Manuel Domingos Augusto, mwakilishi wa Katibu Mkuu wa MPLA (Angola).
2. Makatibu Wakuu wa Vyama Sita Marafiki vya Ukombozi Kusini mwa Afrika, wakionesha nakala ya Katiba ya Usimamizi na Uendeshaji wa Shule ya Uongozi ya Mwalimu Julius Nyerere (MJNLS), baada ya kutia saini, eneo la Kwa Mfipa, Kibaha, mkoani Pwani, Tanzania.
Yaani ugali tu unawashinda iweje ubeche? π€£ π€£ π€£A Kg of Basmati rice is only 280 shillings. What makes you think I can't afford that? The low quality and cheap ones from Tanzania are 100 bob per kg. Mwea rice is 200 bob per kg, Ahero rice is 220 shillings per kg.
Najua ball and that doesn't mean that I should also know village tournament. From what I can gather that tournament qualification was played by unknown people. Was Olunga in the squad? What about Wanyama? Eric Ouma was there? What about Okumu? Was Timbe there?M
Mashindano ya timu za taifa Afrika kwa wachezaji wa ligi za ndani.
Unajifanya mfuatiliaji mpira kesha CHAN huijui kama ni AFCON ndogo?
Rice is a food of prisoners and bachelors. I don't know why that prisoners food is really important to you.Yaani ugali tu unawashinda iweje ubeche? π€£ π€£ π€£
But Tanzania imports old vehicles and that's not a lie.Empty talks master ππππ
Kati yangu na wewe mwenye anashangilia kukula rice who is embarrassing himself?πππUnajiabisha kijana.
Vipi hapa kijana?A Kg of Basmati rice is only 280 shillings. What makes you think I can't afford that? The low quality and cheap ones from Tanzania are 100 bob per kg. Mwea rice is 200 bob per kg, Ahero rice is 220 shillings per kg.
. Chakula ya jela ni ugali sukuma and prisoners in there are treated like pigs.. ππππ πRice is a food of prisoners.
View attachment 2883796
Hujui mpira.Najua ball and that doesn't mean that I should also know village tournament. From what I can gather that tournament qualification was played by unknown people. Was Olunga in the squad? What about Wanyama? Eric Ouma was there? What about Okumu? Was Timbe there?
Hujui Kingereza, hujui Chemistry, hujui Physics and now you are embarrassing yourself on mathematics.
Ugali ni chakula cha wanyama. Angalia nchi za watu wenye akili hawali Ugali mzee. Wanakula vyagula vya ngano au mchele.Kati yangu na wewe mwenye anashangilia kukula rice who is embarrassing himself?πππ
Yani wali uwe chakula cha wafungwa halaf ugali uwe ishu mtaani, mpaka unga unafanywa memeπ πhawa hata shetani anawaruka wwamemzidi kwa uongo alafu kumbukumbu wanapoteza
Kenya people change diet, ama ulitaka wakule rice kila siku? For your information Kenyan prisoners also eat meat.. Chakula ya jela ni ugali sukuma and prisoners in there are treated like pigs.. ππππ πView attachment 2883810View attachment 2883812πππππ umeona hiyo mboga wafungwa wanakula huko kwenu, hata mbwa koko huku bongo hawezi kupewa hivyo.
Ingekuwa wachezaji wenu ni tishio hamngekuwa bottom kwa pool yenu.Hujui mpira.
Chan huwezi ukabeza kuita ni mashindano ya kishamba ilhali inashindanisha wachezaji pro katika ligi kuu za ndani.
Hio inajulisha hamuna wachezaji.
Tanzania wachezaji wa ndani tu tishio.
Mwamnyeto,Baka,Lusajo mwaikenda n.k n.k.
Hiyo inajulisha hamuna ligi bora.
Which animal eats Ugali as an important food to them?Ugali ni chakula cha wanyama. Angalia nchi za watu wenye akili hawali Ugali mzee. Wanakula vyagula vya ngano au mchele.
Ugali unapunguza uwezo wa kufikiri. Ndio maana Kenya mnaandamana ovyo kama wanyama. π€£ π€£ π€£