The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Kwamba videge vyao vinapambana kuokoteza mzigo sehemu mbalimbali Afrika vinapeleka nairobi alafu cargo plane ya Tanzania inauchukua mzigo wote kwa wakati mmoja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Ngoja vile vi regional jets vyao viokoteze mzigo from Uganda, Cameroon sudan congo na kila mahali walete JKIA sisi tuupeleke Dubai, mumbai, Guanzhou, japan etc
Huyo jamaa nimesoma post zake nikajiambia tu huyo ni mwehu nimpuuze. Ni wa kupuuza huyo kima 😂😂😂Kwahio ile iliotestiwa mpaka 180kph ilikuwa inatembea kwenye MGR sio?
Cc TeargasKuna Mtanzania anae omba kuwa raia wa kunyaland
Labda hana taarifa sio mbaya tukimpa taarifa. BTW pale Main station jirani kulikuwa na makao makuu ya DAWASA naona wamevunja, je ni eneo wanchukua TRC kuongeza maegesho?Huyo jamaa nimesoma post zake nikajiambia tu huyo ni mwehu nimpuuze. Ni wa kupuuza huyo kima 😂😂😂
Sijajua mkuu labda tuwaulize wanaopita maeneo hayo mara kwa mara akina NDINDALabda hana taarifa sio mbaya tukimpa taarifa. BTW pale Main station jirani kulikuwa na makao makuu ya DAWASA naona wamevunja, je ni eneo wanchukua TRC kuongeza maegesho?
Duh ngoja nifuate ushauri wa Sama boy 255 . Nje ya mada are you MD?180kph 🤣🤣🤣🤣
Kwa Mashine ipi na umeme upi?
Acha kupelekwa kama bendera Uliipima Kasi yake?
Je kwa speed hiyo ilifkla mpaka wapi na Ilitestiwa kwa masaa mangapi?
Wewe nipumbavu na hujui chochote, wacha kujiabisha 😂😂😂 haya kula chuma hicho 👇180kph 🤣🤣🤣🤣
Kwa Mashine ipi na umeme upi?
Acha kupelekwa kama bendera Uliipima Kasi yake?
Je kwa speed hiyo ilifkla mpaka wapi na Ilitestiwa kwa masaa mangapi?
Sitathubutu.Yes, Unataka unipe Mgonjwa nitubu mkuu?
Ni kweli, uko juu sana siwezi kukufikia.Kwa sababu hata ukitaka huna uwezo wa kunifikia 🤣🤣🤣
Ni Daktari eti na yeye 😂😂😂 ndio mana wakenya muda mwingine wanatudharau kutokana na wapuuzi kama huyo jomba.Sitathubutu.
Ha ha ha ha kumbe ulisema siwezi kukufikia kisa uko abroad...you have long way to go young man.Kwa sasa Mimi sio Raia Wenu mkuu Labda tupambane Tupate uraia Pacha 🤣🤣..
Kumale yo Point clear wakenya wanatudharau kwa kuwa na akili za ki Baba levo na Mwijaku kama zenu
Mkuu Kwa sasa nina miaka 55 naelekea kwenye Ukongwe nafurah sana Kuitwa Young men na kijana wa Gen zHa ha ha ha kumbe ulisema siwezi kukufikia kisa uko abroad...you have long way to go young man.
Haya ndo mambo tunayotakiwa kuyaona na kuyafufahia sasa