The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Who owns AstralAstral Aviation is a Kenyan company. Tunajua tangagiza hamjazoea hizi vitu. π π π Bongolala nzima inategemea cargo plane moja.
View: https://x.com/astralaviation/status/1621113488092594178?s=20
Hakuna kitu watafanya kwenye nchi huru kama somaliland na deal lishasainiwa kwa sasa tuliza mshono upambane na umaskini
Waambie Ethiopia waende wakaweke base waone moto wa ChinaHakuna kitu watafanya kwenye nchi huru kama somaliland na deal lishasainiwa kwa sasa tuliza mshono upambane na umaskini
Tanzania tunaunga mkono utengamano wa SomaliaSo hii inahusiana vp na somaliland??π€£π€£π€£
ππ Failed statetanzania is a useless overrated good for nothing country
Kazi inaendeleaMchezo mzuri gani sisi tunajua mchezo mzuri kwenye hii nchi ni mgao wa umeme tuπ€£
Pesa ipo tunalipa.Chungeni ndege isikamatwe tena na kuuzwa
Sisi Tanzania tulijiandaa matokeo yoyote ndio maana wala hatukuwa na tatizo maana tunajua tunacheza na timu bora ila nashangaa wanaoumia ni wakunya. πππEven Brazil was beaten by Morocco, who is Tanzania? Msijifariji, Tanzania ndiyo mtetezi wenu na ndiyo maana jana wakenya wote karibu 50+ mlinunua azam bandle to watch Taifa stars ikicheza kule ivory coast.
zero Afcon wins ...wuehhh.....tz nyinyi kwa sports hamna nyota yawa..sadSisi Tanzania tulijiandaa matokeo yoyote ndio maana wala hatukuwa na tatizo maana tunajua tunacheza na timu bora ila nashangaa wanaoumia ni wakunya. πππ
Furaha yetu ni tumefuzu mengine freshi tu.
Chomoa pole pole kama inauma popoma wewe.zero Afcon wins ...wuehhh.....tz nyinyi kwa sports hamna nyota yawa..sad
China atafanya nn yeye nani ??π€£π€£π€£π€£Waambie Ethiopia waende wakaweke base waone moto wa China
Leta ushahidi kua hatuungi mkonoπ π π πTanzania tunaunga mkono utengano wa Somalia
Zile pesa waziri mkuu alikua anachangisha ni kwa ajili ya nn??π π π π πSisi Tanzania tulijiandaa matokeo yoyote ndio maana wala hatukuwa na tatizo maana tunajua tunacheza na timu bora ila nashangaa wanaoumia ni wakunya. πππ
Furaha yetu ni tumefuzu mengine freshi tu.
Huo unaotaka kuleta sasa ni ubishana wa kijinga.Zile pesa waziri mkuu alikua anachangisha ni kwa ajili ya nn??π π π π π
Wamecheza a very amateur footballHehehe successful burial πππ
View: https://twitter.com/EricNjiiru/status/1747645529830339003?s=19
hii kiswahili haisaidii kabisaa......umbea na udaku za vijiweni .zero talent in sports ......nani aliwaroga yawaChomoa pole pole kama inauma popoma wewe.
that game was boring.....tz just resorted to rough game and playing cluelessly...very amartuerish weak team...infact didnt watch much of second half coz i was sure Morocco would be having a good training sessionWamecheza a very amateur football
Kukimba kimbia tu bila plan.
Enyewe football ya Africa ni ujinga tu.
hii kiswahili haisaidii kabisaa......umbea na udaku za vijiweni .zero talent in sports ......nani aliwaroga yawa