Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mpenda sifa yule sehemu kama hizi ndo anaona pa kuchukulia marks!! Pale FA palikua pamepoa sana. Kiki ndo hii sasa 🀣

Kipara ana maslahi makubwa sana kenya miaka na miaka,kuna kipindi humu hadi wakenya walikua wanampa sifa za rais material,jamaa ana share za kibiashara na mwanasiasa mkubwa wa kenya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…