Teargas
JF-Expert Member
- Mar 28, 2021
- 21,849
- 24,773
With 5 military helicopters? And 4 old surveillance jets?Muda sasa wa kuwatisha wakenya
View attachment 2869962
View attachment 2869963
View attachment 2869964
With 5 military helicopters? And 4 old surveillance jets?Muda sasa wa kuwatisha wakenya
View attachment 2869962
View attachment 2869963
View attachment 2869964
Better than NairobiMagufuli city 1978 👇View attachment 2869954magufuli city 1980👇View attachment 2869956magufuli city 1990 👇View attachment 2869957magufuli city 2024 👇View attachment 2869959.. this is according to this fool Teargas. 🤣🤣🤣
Hii hapa tofauti ya kwanzaPlease show me the difference between this Dodoma and Isiolo.
Now you know how Dodoma looks like.
Umeziona hizo helicopters. Helicopter moja ni sawa 30 za Kenya.With 5 military helicopters? And 4 old surveillance jets?
Mambo haya sijawahi kuyaona tangu nizaliwe. Hayapo hapa TZNow you know how Dodoma looks like.
Actually 2 are second hand Airbus helicopters. The remaining 3 are not airworthy.Umeziona hizo helicopters. Helicopter moja ni sawa 30 za Kenya.
Sasa piga hesabu
What about this?
Kipchirchir Arap Teargas amekalia kuweka vijipicha vya mabasi kila siku😎
View: https://m.youtube.com/watch?v=h0_F13LspEI
Actually there 2 are second hand Airbus helicopters. They remaining 3 are not airworthy.
Do you know the number of helicopters Kenya has?Hizi helikopita zinakondesha wakenya. Hebu weka zenu tucheke 🤣 🤣 🤣
View attachment 2869973
View attachment 2869975
Sawa sawa mnunuzi wa vifaa vya kijeshi tanzania haya mpigieni makofi 😅😅😅Actually there 2 are second hand Airbus helicopters. They remaining 3 are not airworthy.
Unaleta Helicopter za 1969 🤣 🤣 🤣Do you know the number of helicopters Kenya has?
View attachment 2869977
Sasa hapo Irrigation schemes anabeza, anawaza high rise, baadae ilistrike unga wanaomba ruzuku, mpaka wanaingia mtaani kuharibu vituMkenya ni mtu mbaya sana, yaani yupo radhi akose kila kitu ili ajionyeshe.
Kwamba pesa zimeelekezwa kwenye apartment uchwara, ambayo haitatui shida yoyote.
Eti high rise building, high rise building, na umeme huo unaenda kuwatoa kamasi.
Anakwambia hatuna high rise hatujengi, bila kujua kwamba Gov imeelekeza pesa kwa vitu vya maana ambavyo vikikamilika utasikia tena Wakunya wametembeza bakuli.
JHNNP - Kutibu tatizo la umeme, kua na umeme wa uhakika nchi nzima, hivyo kuongeza investors ambao baadae watakuja jenga hizo high rise kama HQ, au watakuja pangisha tukijenga High Rise, na hiyo JHNPP inaweza wafanya waliopo Kenya wahamie huku ikiwa hawapati umeme huko maana hakuna plan na umeme kabisa.
EACOP- Ikikamilika tutakua tunapata mgao wetu kwa kila lita hivyo government kugenerate mapato yatakayosaidia kufund baadhi ya miradi sekta zote. Na itasaidia mji wa Tanga kukua, Kenya ukitoa NBO na Mombasa miji mingine strategic Kenya ni ipi?
SGR - Tunaenda kuifanya TZ hub ya mizigo EA, kuvutia more investors.
Irrigation schemes, Agricultural block- Kufanya kuwe na uhakika wa chakula nchi nzima kipindi chote cha mwaka, kuongeza exports ya mazao ya chakula kama tulivyofanya kwa tumbaku. Wajinga wamewekeza kwa Maua😂😂
Mpango wa miji, na Barabara kuunganisha nchi nzima ambayo itarahisisha inclusive economy, pia kuifanya TZ iwe strong kiusalama, maana itakua kila kona kuna huduma hitajika, ila mijitu inawaza high rise mijini, huku nchi haina mawasiliano kama Baringo, northern Kenya, na mpaka wake na somali.
Hii inatosha, sasa unajiuliza akili kama za Teargas zimeenda wapi?
Zenu ni za 1831
Do you know the reason why 98% of Tanzanians lives in bad houses? It's because there are no good houses worth noting there at Dar is slum. The reason why there are no good houses is because everybody is poor hapo Dar is slum.Kwamba pesa zimeelekezwa kwenye apartment uchwara, ambayo haitatui shida yoyote.
Are you aware that we produce more electricity than your poor country?Eti high rise building, high rise building, na umeme huo unaenda kuwatoa kamasi.
Ati Gov imeelekeza pesa wapi? Your government is poor you are only surviving on loans and donations. Apartments and high-rises are being built by individuals huku Kenya. We don't wait for the government to build them for us. That's why I usually call you people lazy, you can't do anything meaningful by your own.Anakwambia hatuna high rise hatujengi, bila kujua kwamba Gov imeelekeza pesa kwa vitu vya maana ambavyo vikikamilika utasikia tena Wakunya wametembeza bakuli.
We have a functional SGR. Not pipe dreams.SGR - Tunaenda kuifanya TZ hub ya mizigo EA, kuvutia more investors.
Are your cities?😂😂😂 Tanzanian cities and planning are like water and oil. Which roads are you talking about? Are you aware that Tanzania only have 13,000km of paved roads? Kenya has 23,000km.Mpango wa miji, na Barabara kuunganisha nchi nzima ambayo itarahisisha inclusive economy, pia kuifanya TZ iwe strong kiusalama, maana itakua kila kona kuna huduma hitajika,