Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa mfano ikatokea mtanzania mojawapo wa jf akawa rais wa Tanzania maisha yenu yatakuaje kunyaland nao ni
The best A007
Ichoboy
Coodpol
Venus
Chongchang
Nchi sio Mali ya mtu binafsi ,hakuna kikubwa watakachofanya Chenye utofauti.

Hakuna Nchi inaweza endelea yenyewe bila kuwa na mahusiano na Nchi zingine regardless kiasi Cha chuki uliyonayo Kwa jirani.
 
Kwa mfano ikatokea mtanzania mojawapo wa jf akawa rais wa Tanzania maisha yenu yatakuaje kunyaland nao ni
The best A007
Ichoboy
Coodpol
Venus
Chongchang
Waendelee kuomba kwa hao wenzangu ila sio mm 😁😁😁😁😁 bahat nzuri wananijua hua sina show mbovu, manake ntawapelekea ukuni wa moto mpaka wajue kwanini bata akipewa kokoto lazma ataharisha tu
 
Hicho unachokisema ndiyo unrealistic, kwasababu kinaleta mgongano wa kimaslahi na kibaya zaidi kinatengeneza dhana au utamaduni wa kupiga. Mfanyabiashara wa kweli kama Mengi (RIP) hawezi kung'ang'ania ajira serikalini, ataacha tuu ajira, pale anapoona kuna opportunity ya biashara.
 
Kwasasa hakuna gorofa refu hata moja in East Africa linaloingia kwenye list ya top ten tallest buildings in Africa 🥺. Not even in the near future.
Ebu list top 10 tallest buildings in Africa tuone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…